Mess vs Manchester

Mess vs Manchester

Uefa huu ni uonevu ni sawa na kumuhukumu kifo Man U, bora wasingewatoa PSG
 
Uzuri wa mpila unachezwa uwanjani dakika tisini na siyo mdomoni au kwenye keyboards.
Kama ingekuwa matokea yanapangwa kwa matakwa ya mashabiki wa timu Fulani basi hakuna timu ingefungwa duniani.maana mashabiki siku zote wanataka timu yao ishinde ..so hata nyinyi mashabiki wa humu ni hali yenu kusema Barca atapita maana hamuwezi kusema kinyume.
Ila hiyo mechi si rahisi kama m unavyodhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man U hii kumtoa Barcelona ni future impossible tense. Ilishindwa Man U iliyokuwa na akina scholes, Beckham, Van De saa, Rio Ferdinand ije kuwa Man U yenye rashford na Phil Jones.
Acha utani Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Scoles Ndiye aliye wafungasha Barcelona vilago wakaenda kuchukua kombe kwa Chelsea. Alipiga bakora moja mujarabu akimwacha kipa vardes akiruka bila mafanikio. Mpira unadunda tusubiri tuone kwakua yajayo yanafuraisha pale OT.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom