Habari wana JF….. Weekend inasemaje Dears???
Kwa jinsi tunavoendesha maisha yetu sasa hivi ni wazi kua kila mmoja
hasa ambae ana access ya kuingia hapa net ni lazima awe na simu ya
kiganjani thou zapishana ubora kazi yake ni moja... Hivo basi hata kwa
yule ambae ni mvivu kutuma message ni lazima walau anapokea.. thou
anaweza asitume BUT akapiga simu.... Where am i heading with this??
SWALI: Naomba if you don't mind tuambie your last message katika CM
yako inasemaje (wale ambao wameunganisha na mail take note ni msg ya CM)
Yaani toka CM ya mkononi.... Na waweza sema na mda, will be appreciated.
P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)
Oh jamani Albedo... nani huyo alisafiri?? Hopefully your are happy eeeh??
Lmao.... Albedo nimeishiwa pose na bonge la kicheko... Hii sasa balaa....
Mwita iko siku nitakuchapa ujue?? lol... na hio avatar as if kweli hujui jibu.... Haya basi CM = Simu.... (Umefurahi??)
Ooh! My last sms to reach my inbox went like '' yaani leo dear umenichunia hivyo, au jana sikukuridhisha''
Great reply.... I bet she was happy and was looking forward kukuona.....lol... (ina maana mawasiliano ni wewe na wife tu eeeh??)
yangu inasema
even if we have
less talks
less hellos
less stories
less greetings
but always remember that my prayers will never be less for u.
have a nice time
iyo ni ya saa tano na dkk 24