asha unafahamu mwanamke mzuri lazima atatongozwa sana lakini mimi sina wasiwasi Husninyo anapangua mitego kama Fabregas hahaha!
Hus ni mpenzi wangu kwenye haya maisha ya 'kusadikika' hapa JF,hii sms ni huku uraiani kwenye 'maisha bora kwa kila mtanzagiza', huyu small house nimempiga chini baada ya kugundua karibu 40% of my income inaishia kwake na maendeleo yangu yame-stagnate toka nilipoanza kummiliki.Ni vuzuri kama unaelewa hivo... Hata hivo my woman instict zina shout as much as una an impecable cv...lol... Bora kama hutishiki lkn.. Na kua mambo na Husny hayajababilika....
Hilo jina lilinichanganya bana....lol... Hivo nilitaka kujua ni mkaka ama mdada maana ile message ilitaja jinsia.... Haya tuache hayo... Tell me... Vipi amepona??
Hus ni mpenzi wangu kwenye haya maisha ya 'kusadikika' hapa JF,hii sms ni huku uraiani kwenye 'maisha bora kwa kila mtanzagiza', huyu small house nimempiga chini baada ya kugundua karibu 40% of my income inaishia kwake na maendeleo yangu yame-stagnate toka nilipoanza kummiliki.
anaendelea vema make nimemwona leo akiendelea na biashara zake kama kawa! Ugonjwa umehamia kwangu sasa, kale katumbo ka kupokea 'mshahara' kwa mbaali kanauma! Naomba pole yangu nilale Asha, ili niwahi job kesho