Honey! nimemiss mafenesi zaidi yako, naomba upitie dukani unipatie ukirejea. some txt missing.
Gaijin there are messages hutumwa just becausehio ndo media inayofaa wakati huo... Siamini kua zoote hua so private kwamba alotuma/tumiwa would mind mtu akisoma.....
Giza linapoingia huwa nakuwa Busy na Wife si kwamba nazuia Mawasiliano Mengine la hasha ila huwa Naomba kusiwe na Mawasiliano Mengine kwa jana Hakukuwa na Mawasiliano mengine
Honey! nimemiss mafenesi zaidi yako, naomba upitie dukani unipatie ukirejea. some txt missing.
You asked about the last one right?
Besides as long as they are to my phone they are private and I wouldn't really know what the sender will like revealed
Please nieleweshe kama ndo ujumbe ulopata ama umeunganisha maelezo.....lol
Are saying exactly that.... yaani nilivoelewa?? Hebu spell it out tuone kama nimeelewa....lol
yaa ni mtu ambae hatutakiwi tuwasiliane kabisa namshangaa ila sijambo my lovely sis namtafuta nanihii humu tukale wkendPlease i hope ni mtu amae haitakiwi muwasiliane at daily basis.... i.e kama ni lets say boyfriend katuma hio anakua anakuzima hasira za kutokukutafuta the whole day....lol... Mzima kid sis... Nime ku MISS.
karibu jf kijanaAshaDii mbona hujibu meseji zangu?
Una kumbukumbu sana AshaDii..yeah, bado hajarudi.Rejao i hope ni wife.... Bado hajarudi kikazi?? Or nimekosea ni mtu mwingine?? lol
yaa ni mtu ambae hatutakiwi tuwasiliane kabisa namshangaa ila sijambo my lovely sis namtafuta nanihii humu tukale wkend
Now i understand kwanini ulisema hivo Gaijin... Dah! Hapo nimemiss kitu lazima! in other words you will have to kill me once i know the message..lol