duu preta na ulivo na roho nyepesi mpenzi pole sana huyo shem mwambie nikimkamata cha kunitesea preta wanguniko busy sana labda saa tano usiku ndio nitakuwa free.....imagine that....na jana ilikuwa w/end
mmmmh! hayo maneno toka kwa kipenzi.... ka vile hamjawahi onana... Hebu nijuze Husny.....lol
Uporoto hana simu, hii msg imetoka kwa nani?nitakaribia pande hizo na nikija lazima nitakutafuta.....that is a promise. Kipenzi changu kimenitumia hivyo.
Dah! Pole sana Preta ina maana the jana was Bila bila LoL!
Prayers to almight God.loh kumbe ni wewe hata sijajua ni nani? sory thax for your prayers ila sijajua ni maombi gani unaniombea jamani
Habari wana JF .. Weekend inasemaje Dears???
Kwa jinsi tunavoendesha maisha yetu sasa hivi ni wazi kua kila mmoja
hasa ambae ana access ya kuingia hapa net ni lazima awe na simu ya
kiganjani thou zapishana ubora kazi yake ni moja... Hivo basi hata kwa
yule ambae ni mvivu kutuma message ni lazima walau anapokea.. thou
anaweza asitume BUT akapiga simu.... Where am i heading with this??
SWALI: Naomba if you don't mind tuambie your last message katika CM
yako inasemaje (wale ambao wameunganisha na mail take note ni msg ya CM)
Yaani toka CM ya mkononi.... Na waweza sema na mda, will be appreciated.
P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe .(ADI)
Uporoto hana simu, hii msg imetoka kwa nani?
duu preta na ulivo na roho nyepesi mpenzi pole sana huyo shem mwambie nikimkamata cha kunitesea preta wangu
Uskute msg ya mwisho kwenye simu ya Uporoto ni hii "Mkuu nimekuazima simu utume msg haujailejesha mpaka mida hii"hahahaha! Uporoto darling wangu ana simu original tena anatumia mtandao wa zantel.
Jamani mbona kimya sana au ndiyo kusema hunitaki maana unakuwa kimya sana!!! hii ndiyo message ya jana kiasi kwamba nikazima kabisa
Khaaa!! Preta niambie kua wamtafutia dawa afeel the same pinch! (i kid) kama si tabia yake i think ana deserve kumuelewa... Ila kama ni tabia yake ya kukufanya booty call.... You have to change that! A weekend ghafla peke yako..... Dah! Pole dear...
No jana nilimfundisha hesabu vizuri, so was looking for another opportunity
Uskute msg ya mwisho kwenye simu ya Uporoto ni hii "Mkuu nimekuazima simu utume msg haujailejesha mpaka mida hii"
heri mie sijasema.