Mwana kinyonga
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 377
- 227
Waweza niambia huyo alokuuliza alitumia vigezo gani mpaka afikiri wanijua na habari zangu pia?? lol
Cta duu ndan ya duka la dhahabu,mara kaiona pete nzuri kainama kuiangalia bht mbaya akajamba,akageuka nxuma kuona kama kuna m2 kamckia,macho kwa macho na muuzaji!Dada akazuga 'eti kaka hii pete bei gan?'muuzaj akamwambia 'umeiona 2 umejamba nikikutajia bei c ndo utakunya!'.Acha kucheka best friend,ucku mwema
Jana 22.45
Believe me you najaribu kupiga picha na imegoma kabisa hata kutoa negaitve!! Wacha niazime digital yenye ma megapixel ya kufa mtu! lol
Hivi huku New World bado watu huwa wanaenda? Mbona movie zote hizo tayari zimeshaonyeshwa Century Cinemax mcity?Hii ndio meseji yangu ya mwisho...
Till 25/10 New World Mwenge *AAZAAN- 7:30pm,10pm *RASCALS - 7pm,8:30pm,10pm - Till 27/10 Mlimani City *DOLPHINE TALE 3D - 2:30pm,5pm,7:30pm,10pm *RIO 3D - 2pm, 4pm,6pm *WHATS YOUR NUMBER -7:45pm,10pm *JOHNNY ENGLISH - 3pm,5:30pm,7:45pm,10pm
Hii ndio meseji yangu ya mwisho...
Till 25/10 New World Mwenge *AAZAAN- 7:30pm,10pm *RASCALS - 7pm,8:30pm,10pm - Till 27/10 Mlimani City *DOLPHINE TALE 3D - 2:30pm,5pm,7:30pm,10pm *RIO 3D - 2pm, 4pm,6pm *WHATS YOUR NUMBER -7:45pm,10pm *JOHNNY ENGLISH - 3pm,5:30pm,7:45pm,10pm
Hivi huku New World bado watu huwa wanaenda? Mbona movie zote hizo tayari zimeshaonyeshwa Century Cinemax mcity?
Hivi huku New World bado watu huwa wanaenda? Mbona movie zote hizo tayari zimeshaonyeshwa Century Cinemax mcity?
Gal you need some jerk up.... Don't hesitate.... Mwita ni gari la Manual... You have to be an expert kuhakikisha hujakorongoa gear box! lol
Alter Ego, na mimi naenda kupokea kakiasi, si unajua leo ni weekend wasije wakafunga... Kiss kiss and have a lovely weekend!Tutaku Miss Kid sis.... Will Miss you so.... Weekend njema dear....
Vin nilikumiss kakangu... siku mbili hizi hatujaonana.... Naona uliomba ratiba ya movies... Vipi umeenda angalia??
Ehe..na kwenye movie upo? Interests na hobbies zako nini haswa? AshaDii..I need to know u more plzzzUnajua wengine huenda mkumbo... or kufuata company... or labda kusubiri walau bei ishuke kidogo... or saingine mtu ali-MISS sababu ya ubusy....
Cta duu ndan ya duka la dhahabu,mara kaiona pete nzuri kainama kuiangalia bht mbaya akajamba,akageuka nxuma kuona kama kuna m2 kamckia,macho kwa macho na muuzaji!Dada akazuga 'eti kaka hii pete bei gan?'muuzaj akamwambia 'umeiona 2 umejamba nikikutajia bei c ndo utakunya!'.Acha kucheka best friend,ucku mwema
Jana 22.45
niko njiani nakuja sasa hv hata hapa kwa sis nimeshaaga tulianimeomba ratiba na nataka kwenda kuangalia john english pale m city...ndio imeingia theatres...
Nimekumiss pia sisy...
Nilipotea kwani sl hakuwepo pia...kama umegundua..