Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,137
Mmmh hata mimi sijamuelewa,we mleta mada hebu tupe kirefu cha CM umetuacha kwenye mataa.
Mbona alishamjibu na akasema alimaanisha simu? jifunze kusoma post zote kabla hujasema lolote...
Nakuwa busy na kazi sasa mtu anataka upige cm tuu! Wakati ukichanganya tu umearibu kazi za watu.... Alafu sijazoe kupiga piga cm
Heeee! Chatu kumbe you are loaded eeeh?? Na mimi naomba nikopeshe walau Laki 5....lol
AshaDii,
Unadhani tuna kitu hela ya kula tu jamani...
Hako kadada kalikuwa kanajiribu kupiga mzinga lakini kakakwama...lol..
(Am being honest to the real ..time... my last text received is) Hi AJ, I hav a situation here, kila siku usiku 2am naamka. Akili inaadika thesis! Mimi nasikiliza ..Idea zinamake perfect sense ... ila nimeanza ku-feel guilty.. Hii PhD inahitaji UFAHAMU NA AKILI ... sasa mimi sijui kuvi-balance! jamani somo gumu hili!!! tell me how would you hav differentiated the two?
Chatu kitu kimoja wapo ambacho nawasifu wapiga mizinga ni uwezo wao wakubashiri hasa yupi wakupigwa ama lah... Yaani unanibania Laki 5 na mwenzio nina shida.... Chatuu... Urafiki gani huo wa mashaka jamani... hebu basi namimi nisaidie hizo laki tano bana! lol
Kwa hiyo unanipa eeeh?? Nikupe bank account?? lol
Huku nilipo kutuma pesa bongo FBI wanasumbua kweli...ahadi yangu ipo pale pale next week nakuja bongo takutoa...lol..Usijali.... Kuna western Union. Money Gram (which is much cheeper)....lol... Ehee.... Kwa hiyo??
hahahaha... Ukikwama nina mkubwa CIA pale aweza fanya mambo ya kuwazima hoa FBI.....lol
mine is "mamaa hujambo ninefurah kukuona? Mi nilikuwa na tatizo la tumbo lakn kwa sasa nina nafuu. Nitakujulisha lini nitakuona, uniombee kwa mema usikate tamaa" unakuwa mtabir nini Ashadii
Basi ni-PM jina la mtu wako wa CIA nichek nae mimi nipo border ya Afghanistan na Pakistan...lol..
Nikutumie huo mzigo kesho huku saizi saa 9 usiku...
Habari wana JF .. Weekend inasemaje Dears???
Kwa jinsi tunavoendesha maisha yetu sasa hivi ni wazi kua kila mmoja
hasa ambae ana access ya kuingia hapa net ni lazima awe na simu ya
kiganjani thou zapishana ubora kazi yake ni moja... Hivo basi hata kwa
yule ambae ni mvivu kutuma message ni lazima walau anapokea.. thou
anaweza asitume BUT akapiga simu.... Where am i heading with this??
SWALI: Naomba if you don't mind tuambie your last message katika CM
yako inasemaje (wale ambao wameunganisha na mail take note ni msg ya CM)
Yaani toka CM ya mkononi.... Na waweza sema na mda, will be appreciated.
P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe .(ADI)