Message to my love Mwifwa

Hahahaaaa

Asa unanishindwaje mpendwa wangu?

Nafurahi kwkuwa uko poa[emoji3] [emoji3]
Hahaha
Asante mpendwa wanguu!!
Kuna uzi hukoo unawaka moto hebu katembee huko kidogoo
Jukwaa gani
Huko chit chat aki
Ni huo wanaochambana? au
Mmmh
Kuchambana tenaa!!
Mie nasoma tuu aki! Sa sijui kuchamba ndo kufanya ajee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hio unampeleka mbalizi wako kichochoroni ili babu asione..... sawa bana dadaake Shunie!!!
Sakayo haendi vichochoroni, labda kama silojui hilo[emoji23]
Basi bana usinishtaki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nisije nikasutwa tena buree
Kwenda hukoo
Hahahahaaaaaaa

Ninyi na babu yenu huyoooo
Sijaenda mahali ujue... Mbalizi1 siwezi mfichaa kwani ako na shida gani aki, ni my dear and it's will be dat way!!
Babu akajua umenipeleka vichochoroni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…