[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] abiria chunga mzigo wako
duh..... mke wa mganga umeokoka!!!!!Bwana yesu asifiwe ameeeen
Hahhaha mm muhenga sana huko utakuwa umetambulishwa kwa mbebez mwingineUhenga bado bado kidogo
Hahahaha, najiandaa hapa leo ni mkesha, kukulana hadi kesho kanisani ashindwe kupata neno...teh!!!Woyooooooooooo ndio mana nakupenda shem wangu wa pekeee kwa dada angu mie usisahau tu kumkula dada angu
Kama kawaida..Mambo ni fire
Woooooooooozeeeeer bongo movie tuwaachie waigizaji shem wangu huku ni mwendo wa kukulana tuHahahaha, najiandaa hapa leo ni mkesha, kukulana hadi kesho kanisani ashindwe kupata neno...teh!!!
Kweli kabisaSasa tukiziandika wasap au kwa sms chitchat itapoaa
Muhenda kidogo labda yule mnaeitanaga wakunyumba ila wewe badoHahhaha mm muhenga sana huko utakuwa umetambulishwa kwa mbebez mwingine
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaaaaaa
Shukrani kwa pongezi na ushauri wako mkuuLaiti ningepata ujumbe kama huu ningeinuka muda huuhuu nikatafute cha kumfaa mwanamke kama huyu jamaniii,kuna wanaume wana raha jamani daaah!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Woyooooooooooo ndio mana nakupenda shem wangu wa pekeee kwa dada angu mie usisahau tu kumkula dada angu
Hata wakunyumba sio muhenga mm ni muhenga shem alikutambulisha kwa mbebez mwingine kamuulize vizuriMuhenda kidogo labda yule mnaeitanaga wakunyumba ila wewe bado
Nishafika mkuu
Hahahha kivuruge mm jamani lakini tupendane tu hivyo hivyo hakuna namna ingine jamaniHahaha
Unajijua ulivyo kivuruge eeh... Uzuri na mie ni wale wale ila kila mtu anavuruga kwa muda wake...
Me love you
Yaa man.Aisee
Sipendi bongo movie jamani mkulaneeeee tu vitu mmepewa bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jirani bana..Hongera sana moneytalk!! Mpendane na mkulane sasa maana hakuna namna
Jinsi nilivyohangaika hata wewe unajua...Tunakususaje kwa mfanoooo tupo sie halafu Mwifwa ole wako umuache ndugu yetu au kumuumiza kwa chochote kile kakupa moyo wake wote usimtese
Ndio ile imeshafunikwa [emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ile utaifuta au