Message to my love Mwifwa

Message to my love Mwifwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeelewa sana na yeye kaelewa sana anajitoa ufahamu dada angu ako na list ndefu mpaka ananitisha hana tofauti na tumosa
Ila sakayo alijitahidi kutuficha jaman ndo tunastuka sasa hivi mambo yanazidi kupamba moto!na ile kuchekacheka hovyo alikuwa anakudanganya mwenzangu
 
Kwa maneno yako haya sitarajii kulala usingizi kabisa, nataka niwe na wewe nikuangalie tabasamu lako zuri lililojaa upendo kwangu.
Wooooooozeeeeer naomba picha mie ukiwa unakesha jamani khaaaa haya ni zaidi ya mahaba niue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom