Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Mkuu.Sawa.
You are wellcome
Nakutakia kila la kheri bhana...!
Usiogope majukumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.Sawa.
You are wellcome
Aisee! Na hili baridi lazima mtangaze ndoa tuu..
Nawatakia kila la kheri
Kila la kheri pesa-ongea..Natamani ungekuwepo muda huu, sasa hivi ninapokuangalia machoni naona njia ya ulimwengu ninayotaka niwepo
Walisema mapenzi haya hutokea mara moja lakini sikuamini mpaka muda nilipoona nimekupenda Mwifwa wangu!
Kama nimepata raha maishani mwangu ni kitu kimoja ningetaka kukibadilisha, ningekuwa nimekutana nawe tangu zamani. Mara zote unajua kunifanya nitabasamu hubby wangu hata wakati nimehuzunika.
Hakuna mwanaume duniani anayeweza kunielewa vizuri kama unavyonielewa wewe kipenzi changu, changuo langu mimi na mwanaume pekee wa maisha yangu, nahisi kukukumbatia kila wakati ninapoongea nawe,najisikia salama na amani ninapokuwa karibu yako. Nafurahia mapenzi yako zaidi kuliko mtu yoyote humu duniani, siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe yatakuwaje, marafiki zangu wananionea gere kuwa na mwanaume kama wewe unayejua nini thamani ya mwanamke!
Sifahamu umeniwekaje moyoni mwako lakini ninafurahi umenifanya hivyo na matendo yangu pekee yanaweza kuonyesha nijinsi gani ninavyokupenda hubby wangu Mwifwa !Nitakupenda leo na hata kesho Ahera
Nishaingia vitani mkuu hamna kusurrenderMkuu.
Nakutakia kila la kheri bhana...!
Usiogope majukumu
Huwa Wanasema "No retreat , No surrender" .Nishaingia vitani mkuu hamna kusurrender
Hongera zako moneytalk kwa kumpata mume wa moyo wako Mwifwa. Nawaombea mapenzi yenu yadumu daima, usisahau kumpa dozi ya kutosha usijekuibiwa na akina charminglady, masai dada, Hot Lady, etc. Dozi ya kutosha ndiyo itakayodumisha mapenzi yenu.Natamani ungekuwepo muda huu, sasa hivi ninapokuangalia machoni naona njia ya ulimwengu ninayotaka niwepo
Walisema mapenzi haya hutokea mara moja lakini sikuamini mpaka muda nilipoona nimekupenda Mwifwa wangu!
Kama nimepata raha maishani mwangu ni kitu kimoja ningetaka kukibadilisha, ningekuwa nimekutana nawe tangu zamani. Mara zote unajua kunifanya nitabasamu hubby wangu hata wakati nimehuzunika.
Hakuna mwanaume duniani anayeweza kunielewa vizuri kama unavyonielewa wewe kipenzi changu, changuo langu mimi na mwanaume pekee wa maisha yangu, nahisi kukukumbatia kila wakati ninapoongea nawe,najisikia salama na amani ninapokuwa karibu yako. Nafurahia mapenzi yako zaidi kuliko mtu yoyote humu duniani, siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe yatakuwaje, marafiki zangu wananionea gere kuwa na mwanaume kama wewe unayejua nini thamani ya mwanamke!
Sifahamu umeniwekaje moyoni mwako lakini ninafurahi umenifanya hivyo na matendo yangu pekee yanaweza kuonyesha nijinsi gani ninavyokupenda hubby wangu Mwifwa !Nitakupenda leo na hata kesho Ahera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwana yesu asifiwe ameeeen
Mkuu haya mambo hayafanywi kwa kukurupuka banaSijui mke wa anaeandikiwa akiuona ujumbe huu atajisikiaje....ndoa huvunjika hivi hivi iwapo dume ilikipewa ujumbe kama huu kutoka kwa mchepuko
Shukrani sana mkuu kwa ushauri wakoHongera zako moneytalk kwa kumpata mume wa moyo wako Mwifwa. Nawaombea mapenzi yenu yadumu daima, usisahau kumpa dozi ya kutosha usijekuibiwa na akina charminglady, masai dada, Hot Lady, etc. Dozi ya kutosha ndiyo itakayodumisha mapenzi yenu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kwa sababu wewe ni Haji Liputi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Mambo ni mtooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha ha anadanganywa uyo demu ameshasema 'nafurahia zaidi nikifanya mapenz na we kuliko yoyote' sasa kuna nini tena hapo? Ha ha ha ha ha he acha kujisifu ujinga mzee bibi
Woooooyooooo
Njoo pmWooooooooooozeeeeeeer mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ndugu yangu umeamua kujibu