Message to my love Mwifwa

Hvi lakini mama Naa hujii nature ya hii biashara yangu...!

Unataka mengine niweke hapa kweli
Unataka kusema toka tumejuana ndo biashara umeanza juzi.. Kusema tuu mama Naa naondoka ulishindwa?!

Mara ya kwanza nilivumilia ukarudi as if nothing happened, lakini hukulala hata kwa nyumba ukaondoka tena?! Nini kinaendelea lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…