Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Naanzaje kuwa na huruma na wewe jamani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] shunie ata huruma huna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanzaje kuwa na huruma na wewe jamani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] shunie ata huruma huna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanapata hasira za kukulwa mfyuuuuuuu waendeleee kukulwa hivyohivyo kimyakimyaHahaha
Wacha nimfungulie hukohuko pm tuu aki!!
Hahhaha eti mchuchu acha kumdanganya dada anguAcha kuzusha unamtisha mchuchu wangu ujue
Yani kuna njemba daily zinapiga pumbu mpaka uwa zinanukia kumakumaNaanzaje kuwa na huruma na wewe jamani
miss you too... nipo bhana nakuwepo uwe unanitembeleaHahaha
Nakumiss mpaka nasinzia akiii.... Superstar usijifiche sana
Uko unamjua mwenyewe jamani ni hapo utakapombadilikia dada angu tunaandamana[emoji23] [emoji23] [emoji23] bae yupi huyo
Hahaha hahaha hivi kumbe watu wapo serious namna hii!,Atlas ndio nimebaki mpweke humu ndani,ajitokeze basi hata mmoja wa kunipenda na mm nione dunia ni sehemu salama mazeeNatamani ungekuwepo muda huu, sasa hivi ninapokuangalia machoni naona njia ya ulimwengu ninayotaka niwepo
Walisema mapenzi haya hutokea mara moja lakini sikuamini mpaka muda nilipoona nimekupenda Mwifwa wangu!
Kama nimepata raha maishani mwangu ni kitu kimoja ningetaka kukibadilisha, ningekuwa nimekutana nawe tangu zamani. Mara zote unajua kunifanya nitabasamu hubby wangu hata wakati nimehuzunika.
Hakuna mwanaume duniani anayeweza kunielewa vizuri kama unavyonielewa wewe kipenzi changu, changuo langu mimi na mwanaume pekee wa maisha yangu, nahisi kukukumbatia kila wakati ninapoongea nawe,najisikia salama na amani ninapokuwa karibu yako. Nafurahia mapenzi yako zaidi kuliko mtu yoyote humu duniani, siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe yatakuwaje, marafiki zangu wananionea gere kuwa na mwanaume kama wewe unayejua nini thamani ya mwanamke!
Sifahamu umeniwekaje moyoni mwako lakini ninafurahi umenifanya hivyo na matendo yangu pekee yanaweza kuonyesha nijinsi gani ninavyokupenda hubby wangu Mwifwa !Nitakupenda leo na hata kesho Ahera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu niiteUnaongea na nani lakini
KhaaaaaaaaNaomba usimjibu huyo njemba sio mtu mzuri bae
nitakualika ubarikioUkashindwa nn kutualika tukuje kucheza kwaito
Haha siwezi uwe na amaniUko unamjua mwenyewe jamani ni hapo utakapombadilikia dada angu tunaandamana
Kwenye bahati zao za kupiga pumbu wanajilia kiulaini tuYani kuna njemba daily zinapiga pumbu mpaka uwa zinanukia kumakuma
Khaaaa ubarikio tena kwahiyo na ubatizo umepitanitakualika ubarikio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] my sweetheartHahhaha eti mchuchu acha kumdanganya dada angu
MhHaha siwezi uwe na amani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] my sweetheart
Wow....Hahaha you know i love you[emoji8] [emoji8] [emoji8]
HahahaMna malist mfyuuuuuu mnaadikiana mathread pm huko