Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Anza kukusanya ushauri kuanzia sasaNaona Drama zinaendelea.
Uzuri wa JF ni Archives tosha.
Mi nasubiri yakiharibika nitoe ushauri tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kukusanya ushauri kuanzia sasaNaona Drama zinaendelea.
Uzuri wa JF ni Archives tosha.
Mi nasubiri yakiharibika nitoe ushauri tu.
Ahsante sanaHongereni na kila lenye kheri
Amiinuwiii mahaba mubashara....let love lead
Yupo huyo mkuuJamaa yetu yule Kwann afanyi haya mambo
Sawa!!ila wewe dawa yako ipo jikoniNaona unaiga swaga zangu.
Kwanini shemShem usiniambie we na Inna ni bongo movie
Sawa!!ila wewe dawa yako ipo jikoni
IUsijali mkuu utapata tu, kuwa na subiraHahaha hahaha hivi kumbe watu wapo serious namna hii!,Atlas ndio nimebaki mpweke humu ndani,ajitokeze basi hata mmoja wa kunipenda na mm nione dunia ni sehemu salama mazee
NaamHizi bahati kumbe zipo, basi maisha yapo na hayajaisha
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Siwezi kuwatesa hata kidogoBora umekuja shem jamani usitutesee ndugu yetu hili ndio la muhimu
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Wozaaaaaaaaa
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] what did i miss??
Naam mkuuWatu na mapenzi yao.
Inaeleka mashariki ya kati kabisaMambo ni hiviii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mv mapenzi hiyoooo inang'oa nanga
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]ndo hapo sasa,acha mie nijilie raha huku
Yule Wa makapukuYupi tena jamani
Sio kweli kipenzi changuBabe yakwel haya
Sisi pia tunakupenda sana carba[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante MT wake Mwifwa.
Nakuoenda pia maa