Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupenda zaidi my loveNakupenda
Karibu mkuuGet a room
Malizia basi coco jamani....Nimefurahi kwamba sasa kapata mwanamke.. maana...
Nipo mkuu na nishajibu kuanzia mwanzoHuyu mwifya hayumo humu tumsikie akijibu
Shukrani na wewe pia njozi njemaTo all,
Shukrani kwa wavamia thread wote..[emoji3] nikiwemo mimi,
Mimi na familia yangu tunawatakia njozi njema nyote.
Tuonane panapo majaliwa. [emoji112]
Usikufwe kipenzi changu nipo hapa kwa ajili yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakufa mimi
Huyo hajapitia hata uzi aone kinachoendeleambona alishajibu jaman kipenzi changu
Ahsante kwa jibu zuri babe wanguAcha gubu sisi tulikuwa tunakulana bana
Umeuteka moyo wangu hata sifurukuti kipenzi changunakupenda wewe mwanaume
Mwifwa kumbe ni wewe nlijua mwingine aisee hivi ni ujumbe wa kweli au mnatanianaNipo mkuu na nishajibu kuanzia mwanzo
Tumestaafu sote kule.[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Ulinzi naona sasa hivi kaacha
Kiboko yao[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]nipo.Koboko ya manyaku nyaku upo?
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]sina madhara mimi,kama nyoka mie kibisa..embu nieleweshe hapa vizuri