Message to my love Mwifwa

Message to my love Mwifwa

hivi Mwifwa moneytalk mnatupa shida sana, iyo kitu imekuwa tamu to the maximum eti eheh dah wengine hatuna jinsi tunalala na mawazo na hii baridi huku tulipo wengine dah hapana, ama kweli shida tu. wa inbox aje tu chat tumalize stress tukipata usingizi tunalala
 
Mkuu usijali vumilia tu najua huko uliko unapambana mambo yakae sawa ili kuhakikisha mazingira ya kupata utamu yanakuwa mazuri.
 
Back
Top Bottom