Message to you all

Message to you all

*Finally, Just about 72 hours to the end of 2018.*
To My Creator = *I say Thank You.*
To my true friends = *I appreciate you all.*
To those who showed me love = *I'm grateful.*
To those who hurt me = *I forgive.*
To those I really hurt = *I'm so sorry, please forgive me.*
To those who challenged me = *let’s do it again.*
To those I showed love to = *I still love you and I ALWAYS WILL.* To those who helped me = *I am so grateful and will reciprocate in due season.*
THANK YOU FOR MAKING 2018 A FRUITFUL YEAR FOR ME.
*WISHING YOU A PROSPEROUS 2019 AHEAD.*

Jr[emoji769]
hatimaye yamebakia masaa 72 kumaliza mwaka 2018
Kwa muumba wangu nasema asante
Kwa marafiki zangu wa kweli nawakubali wote
Kwa wote walionionyesha upendo nawashukuru
Kwa wote walioniumiza nimewasamehe
Kwa wote niliowaumiza kwa hakika naomba radhi, nisameheni
Kwa wote walionichagiza.. Tuliendeleze
Kwa wote niliowaonesha upendo bado nawapenda na nitaendelea hivyo
Kwa wote walionisaidia nawashukuru mno na nitalipa kwa majira husika
Asante kwa kuufanya mwaka 2018 wenye matunda kwangu
Nawatakia mwaka wa neema 2019

Jr[emoji769]
Asante sana Mshana Jr naomba dual yako ikubalike mpaka mbele za Muumba na malaika zake. Umenikumbusha bethdei moja ya Hayati Rashid Kawawa aliitumia kuomba msamaha na kusema hana kinyongo na ameshawasamehe waliomkosea.
 
Asante sana Mshana Jr naomba dual yako ikubalike mpaka mbele za Muumba na malaika zake. Umenikumbusha bethdei moja ya Hayati Rashid Kawawa aliitumia kuomba msamaha na kusema hana kinyongo na ameshawasamehe waliomkosea.
Aaamen utabarikiwa sana 2019

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom