Message yako ya mwisho kwenye simu inasemaje

Kutoka kwa mwenye nyumba jana saa sita usiku.

D...... kwakua kodi yako inaisha tarehe 4 mwezi ujao nitangulizie elfu 30 ijumaa asubuhi.
Mshaanza kuitana D?
 
Ndugu Mteja
Umepokea kiasi cha TZS katika akaunti yako nambari: 0*****01
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0714197700
😊
 
Baba A.... hela imeisha halafu nimesahau kununua pilau masala
 
Mwezi huu akilipa utachukua *00000. Kuanzia mwezi ujao tutakuwa 50/50
 
Kuna watu watauliza kwamba "crane" ndio nini??
 
Get 180Min to call USA, Canada and other nations worldwide with our 10000Tsh WORLD MONTHLY pack.Dial*147*00# select MONTHLY then INTERNATIONAL then WORLD to buy
 
Your Anytime data bundle is finished. Dial *136*2*999# to buy a new bundle, or *135*6# to change your out-of-bundle settings and stay connected.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…