Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,292
- 7,867
Twende kazi leo tujue kama text huwaga zinafananaga angalau kwa watu kadhaa ama kuna watu wanatumiwaga text za kipekee, kila mtu angalau aseme text yake ya mwisho kuingia kwenye simu inasemaje iwe kwenye message za kawaida au Whatsap ili mradi iwe ya mwisho tu
Mimi yangu inasema " i miss you "
Mmmmh wee lol, unaogopesha.Toto ushadanganywa tayari