Messages mlizonitumia kuniomba niseme kitu kuhusu ripoti ya Jaji Chande zinatosha.. msitume tena

Messages mlizonitumia kuniomba niseme kitu kuhusu ripoti ya Jaji Chande zinatosha.. msitume tena

Tafadhalini ndugu zangu. Msitume tena ujumbe PM. Nitasema kitu baada ya kuipitia ripoti nzima ya Jaji Chande.
Hahahahahaaaaa ila wee jamaa 😆😁😅😂.

Ebu kula hicho chuma hapo chini.

Screenshot_20260412_165003_Instagram.jpg
 
Labia majora ni kasehemu muhimu sana kwenye kiungo pendwa. Yesu mtu wangu tusaidie maamaee.

adriz de mbusii
 
Wamehojiwa watu elfu 63, wakapata idadi 518 waliokufa. Sasa hizo takwimu Nani aliwatuma wazitoe wakati hazimo kwenye hadidu rejea na waziri Nchemba alikataa kuzitaja?
Vifo 518 katika 63 elfu Je ktk milion 65 watakuwa wangapi?
 
Back
Top Bottom