MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
jaji chande ni miongoni mwa hazina pekee sana kwa Taifa letuTafadhalini ndugu zangu. Msitume tena ujumbe PM. Nitasema kitu baada ya kuipitia ripoti nzima ya Jaji Chande.
Attention seekerTafadhalini ndugu zangu. Msitume tena ujumbe PM. Nitasema kitu baada ya kuipitia ripoti nzima ya Jaji Chande.
Sawa, mpe t.go basi umtunuku!jaji chande ni miongoni mwa hazina pekee sana kwa Taifa letu
Hahahahahaaaaa ila wee jamaa πππ π.Tafadhalini ndugu zangu. Msitume tena ujumbe PM. Nitasema kitu baada ya kuipitia ripoti nzima ya Jaji Chande.
Hakuna alikutumia SMS , Huna impact yoyote PM aliekutumia naniTafadhalini ndugu zangu. Msitume tena ujumbe PM. Nitasema kitu baada ya kuipitia ripoti nzima ya Jaji Chande.
Tafadhalini ndugu zangu. Msitume tena ujumbe PM. Nitasema kitu baada ya kuipitia ripoti nzima ya Jaji Chande.
Zawadi ya muumba kwa nyie mabaradhuliHahahahahaaaaa ila wee jamaa πππ π.
Ebu kula hicho chuma hapo chini.
View attachment 3577870
Mimi kisiasa ni mkubwa kuliko Lissu na Heche combined.Unapenda kujipa umuhimu usiokuwa nao πΉ
Bila kusahau Mama EdinaSawa MamaSamia2025
Msalimie sana Mama Ametufikia, Mama Boy1, Mama Mdogo, mama D, Mama Ica, mama kubwa, Mama Naa, Mama Nehemiah, na wengine.
Jaji chawa sio chandejaji chande ni miongoni mwa hazina pekee sana kwa Taifa letu
Hahahahahaaaaa ila wee jamaa πππ π.
Ebu kula hicho chuma hapo chini.
View attachment 3577870
Wacha weeejaji chande ni miongoni mwa hazina pekee sana kwa Taifa letu