The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
We kiazi una mziki gani zaidi ya kutema pumba humu? Na wewe una mziki? teh! teh! Upumbavu nacho ni kipaji hongera sana.Umekumbuka mziki wangu ukajua hapa utaumbuka,na utaumbuka kweli na makobazi wenzako
Soma Biblia Mkuu,Katika biblia imetajwa nchi inayoitwa Philistine,Palestina na Philistine ni nchi moja,Ibrahim(Abrahim) alihamia Philistine kutoka Mesopotamia(Iraq),aliwakuta Wafilistina wanaishi pale,Ukweli ni kuwa wahibrew(Wayahudi) na wapwa wao wapelestina walikuwa wanaishi pamoja katika nchi moja bila ya matatizo yoyote tangu Enzi za Ibrahim,mpaka pale Zionist(wayahudi kutoka ulaya) walipopewa kipande cha Ardhi waishi pale Palestina katika mwaka 1948....Judea, Nazareth, Galilaya, Jerusalem, ni miji ya zamani sana. Ilikuwa nchi gani?
Mossad na the late Mika Harari hatari aache kabisa.Daaah kweli sema messi nae ajiangalie aisee
Hao waisrael wapya kutoka ulaya hawana huruma "tahadhari ni muhimu"
Unaonyesha ulivyo mchanga wa akili,mtume Mudy aliwashauri kua akili yenu ikifika mwisho muwaulize watu wa kitabu,unadhani watu wakitabu ni akina nani.Kwanini mtume awaagize muwasikilize hao?jicheke mwenyeweNchi ya Israel waishukuru Marekani,bila ya Marekani hili taifa lingelikuiwa limeshaangamia...Hakuna nchi teule,Nchi zote ni teule kwa Mungu,Taifa la Israel limetengenezwa na waingereza May 14th, 1948. sio Mungu…
Katika vitabu vya dini vya Biblia na Quran vimewatukuza sana Wayahudi kama watu,hakuitukuza nchi inayoitwa Israel kwa sababu kulikuwa hakuna nchi kama hiyo duniani
Geuza ubavu wa pili, pia uvute na blanketi ili uendelee kuuchapa usingizi wa pono na kufaidi ndoto za alinacha.Messi ni mtu mdogo sana ikija kwa Taifa teule la MUNGU, huyu dogo na mtu yeyote yule haiwezi vita takatifu ya BWANA MUNGU.
Iko hivi, Jerusalemu imeshatambuliwa kama mji mkuu wa Israeli, na huo ndiyo mwanzo wa mzozo mkubwa sana utakaoibuka na kuifanya Jerusalemu ichukuliwe na majeshi ya EUROPEAN UNION(The New Holy Roman Empire), lakini mwisho wake Israeli itashinda na Jerusalemu utakuwa mji mkuu wa MFALME WA WAFALME!
Bado kitambo kidogo haya yote mtayaona yakitokea, kizazi hichi hakitapita kamwe hata yote yatimie.
Messi ni mtu mdogo sana ikija kwa Taifa teule la MUNGU, huyu dogo na mtu yeyote yule haiwezi vita takatifu ya BWANA MUNGU.
Iko hivi, Jerusalemu imeshatambuliwa kama mji mkuu wa Israeli, na huo ndiyo mwanzo wa mzozo mkubwa sana utakaoibuka na kuifanya Jerusalemu ichukuliwe na majeshi ya EUROPEAN UNION(The New Holy Roman Empire), lakini mwisho wake Israeli itashinda na Jerusalemu utakuwa mji mkuu wa MFALME WA WAFALME!
Bado kitambo kidogo haya yote mtayaona yakitokea, kizazi hichi hakitapita kamwe hata yote yatimie.
Umeongea nini mkuu,..Hata Mudy ni ahalil kitabu(watu wa vitabu),Wayahudi hawajawahi kuwa na nchi,ni kabila kama wamasai,walikuwa wanahangaika tu na dunia,..Pale mataifa yenye nguvu yakiacha kuwaunga mkono ndio mwisho wao,wataanza kuhangaika tena kama mwanzoUnaonyesha ulivyo mchanga wa akili,mtume Mudy aliwashauri kua akili yenu ikifika mwisho muwaulize watu wa kitabu,unadhani watu wakitabu ni akina nani.Kwanini mtume awaagize muwasikilize hao?jicheke mwenyewe
Soma Biblia Mkuu,Katika biblia imetajwa nchi inayoitwa Philistine,Palestina na Philistine ni nchi moja,Ibrahim(Abrahim) alihamia Philistine kutoka Mesopotamia(Iraq),aliwakuta Wafilistina wanaishi pale,Ukweli ni kuwa wahibrew(Wayahudi) na wapwa wao wapelestina walikuwa wanaishi pamoja katika nchi moja bila ya matatizo yoyote tangu Enzi za Ibrahim,mpaka pale Zionist(wayahudi kutoka ulaya) walipopewa kipande cha Ardhi waishi pale Palestina katika mwaka 1948....
Kama umekubali kuwa Palestina kulikuwa na wenyeji inatosha,Kumbuka hata wayahudi wako wa aina nyingi,...Wafilisti walikuwepo aina nyingi zaidi aina tatu. Wafilisti waliotoka Kaftori (Krete), Wafilisti waliotoka Gerari ya kale enzi za Ibrahimu kusini mashariki mwa Gaza na waliotoka Gaza kama vile Gaza ya sasa na Wafilisti waliokuwepo Kanaani (wahamaji). Wenyeji wa pale walikuwa wengi na Biblia inawataja si Wafilipi peke yao. Walikuwepo Mkanaani, Mhiti, Myebusi, Mperizi, Mhivi, na Mwamori na wengineo (Joshua 9:1).Kwa hiyo wote Wafilisti na Waisraeli ni wahamiaji pale Kanaani. Lakini la msingi Ibrahimu alipewa nchi ile na Mungu aliyemtoa kwao Harani na Uru wa Ukaldayo. Musa aliitwa arudi Misri akatoe watuu a mungu awaongoze njia hadi pale Sinai wakiwa safarini kwenda nchi ya ahadi ambayo ni Kanaani. oshua ndiye aliyepewa jukumu la kuwarithisha nchi Israeli. Kuwapa urithi wao kule Kanaani ngambo ya mto Jordani.
Yakobo ndiye Israel. Alikuwa na wana 12, ndizo kabila 12 za Israel, Alikuwa na wana wengi, Yusufu akawa wazir mkuu wa Misri. Ibrahim, Isack, Eliya, Elisha, Saul, Daud, Suleiman, ni baadhi ya watu mashuhuri wa Israrl. List ni ndefu sana
Asili yao wote ni Ibrahimu. Aina zilipatikana kuanzia maka 721 BC baada ya anguko la Samaria. Hao wengine (Ashkenazi nk.) ni wa miaka ya zama zetu. Uenyeji? Hata hapa kwetu hakuna aliyetokea hapa hapa. Wangoni walitoka Kusini kabisa (Southern Bantu) , Wakuria Misiri (Niger Khordofanian), WaIraqw kutoka kaskazini mashariki ya Afrika kama vile Watusi na wengineo (Afro- Cushitic). WaTindiga, WaSandawi wote Kusini (Khoisan) kama walivyo KhoKhoi wa Afrika Kusini. Uenyeji?Hata dunia ilikuwa tupu na giza totoro. Mwanadamu akaumbwa na kuekwa hapa!Kama umekubali kuwa Palestina kulikuwa na wenyeji inatosha,Kumbuka hata wayahudi wako wa aina nyingi,...
Mkuu, nimecheka sana wallah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijichanganye Mkuu,Wayahudi hawajawahi kuwa na nchi na ndio maana wamesambaa dunia kote,Urusi,Poland,Ujarumani Ukraine na nchi nyengine duniani wamejaa hawa jamaa,kama wangelikuwa na nchi basi wangelibakia sehemu mojaAsili yao wote ni Ibrahimu. Aina zilipatikana kuanzia maka 721 BC baada ya anguko la Samaria. Hao wengine (Ashkenazi nk.) ni wa miaka ya zama zetu. Uenyeji? Hata hapa kwetu hakuna aliyetokea hapa hapa. Wangoni walitoka Kusini kabisa (Southern Bantu) , Wakuria Misiri (Niger Khordofanian), WaIraqw kutoka kaskazini mashariki ya Afrika kama vile Watusi na wengineo (Afro- Cushitic). WaTindiga, WaSandawi wote Kusini (Khoisan) kama walivyo KhoKhoi wa Afrika Kusini. Uenyeji?
Kama umekubali kuwa Palestina kulikuwa na wenyeji inatosha,Kumbuka hata wayahudi wako wa aina nyingi,...
Very low way of thinking,,na hiyo Gaza iko kwenye nchi ganiKwao Gaza wabaki Gaza. Jerusalemu siyo yao. Ule ni mji wa Daudi uliengwa na Daudi. Ni Sayuni.
Usijichanganye Mkuu,Wayahudi hawajawahi kuwa na nchi na ndio maana wamesambaa dunia kote,Urusi,Poland,Ujarumani Ukraine na nchi nyengine duniani wamejaa hawa jamaa,kama wangelikuwa na nchi basi wangelibakia sehemu moja
Hahahahaha Mkuu wewe Myahudi nini?naona povu linakutoka..!"12 tribes of Israel,walikuwa wanahangaika tu na ulimwengu,hiyo ni laana waliopewa na Mungu,tangu pale walipopinga Amri za Musa na Kumkataa Yesu kama Masaya,na bado watahangaika na hii dunia,hayo unayoyaona sasa ni nguvu za soda tu kwasababu mataifa makubwa wanawaunga mkono kwasababu mataifa makubwa wana maslahi na Middle East,Marekani na mataifa yenye nguvu wakiona Middleeast hakuna maslahi basi ujue na taifa la Israel limeangamia😀Nani amechanganya! Kwani hatuijui Historia ya Israeli? Mtu anaipataje nchi yake? Anapewa na nani? Nani alimpa Adamu na Hawa hii dunia? Naini aliwatawanya watu duniani kutokea Babeli na kuanzisha makabila na lugha tofauti? Wayahudi hawakuwahi kuwa na nchi? Ibrahimu aliamabiwa juu ya ziara ya Israeli (uzao wake) ya miaka mia nne ugenini (Misri). Na Mungu akamwambia baada ya hapo atawatoa na kuwarejesha katika nchi hii (Kannani). Walipotoka Misri Joshua baada ya Musa kufa aliwarithisha nchi yao kabila kwa kabila kama vile Mungu alivyokuwa amepanga. Historia hii anaitumia sana Waziri Mkuu Netanyahu anapozungumza juu ya maslahi ya taifa la Israeli. Walitawanwya na Mungu mwenyewe na wakarudishwa nchini mwao na Mungu mwenyewe.
Very low way of thinking,,na hiyo Gaza iko kwenye nchi gani