Hujui Politics wewe dogo kaa hivyo hivyo tu there is no free lunch in this world American they are getting something in return na Usisikie Misaada tu kisiasa kuna mkopo pia huitwa Msaada i told American are not fool kugawa hivyo pesa hovyo... kafanye uchunguzi.
Hivi nyie wafuasi wa "Taifa Teule" hamjaambukizwa uginiasi na Wayahudi?! Unaleta leo mambo ambayo nimeshayaongea tangu majuzi pale niliposema kwamba:
Anayesababisha ni Marekani mwenyewe kwa faida yake...
Kwa mfano, mkataba niliogusia ulikuwa unaitaka Israel kutumia 75% ya msaada kununua vifaa vya kijeshi toka USA!
Kwa maana nyingine, kiwango kikubwa cha misaada ya US kwa Israel kinarudi US kwenyewe!
Huna cha kunifundfisha, labda mimi nikufundsishe wewe! Tangu juzi nimesema anayefaidika na hiyo misaada ni US mwenyewe in other way round! Nikachambua kwa mapana na marefu bila kuhangaika kwenda ku-Google kama ulivyofanya wewe kwenda kuokoteza articles za wafuasi wenzako wa Taifa Teule!
Under the 2010 US budget, about $75 billion, $65 billion and $3.25 billion will be spent on military operations and aid in Afghanistan, Iraq and Pakistan during this fiscal year, respectively. Israel will receive $3 billion, in military aid only. There is no economic aid to Israel, other than loan guarantees that continue to be repaid in full and on time.
Kwahiyo mwenyewe hapo ume-bold, ukaona haitoshi, ukapiga na
nyekundu kabisa ukidhani ni bonge la point!!!
We jamaa, uwe unasoma kwa vituo, elewa kisha jibu hoja badala ya kukurupuka!! Hoja ilikuwa ni nguvu za kijeshi za Israel na ndipo nikasema, MSAADA WA KIJESHI anaopata Israel toka US, hata kama tungepata Tanzania nasi tungekuwa hatukamitiki! Mwandishi wa hiyo makala, Steve Rothman ni Dem na alishawahi kuwa kwenye House of Reps. Rothman ni advocate mzuri wa Israel!
Hapo Rothman analalamika jinsi US inavyotumia billions in MILITARY AID kwa Israel BUT
There is no economic aid to Israel, other than loan guarantees that continue to be repaid in full and on time.
Na ndio maana, kabla ya hiyo uliyodhani ni bonge la point kwako, alianza kwa kusema:
Israel will receive $3 billion, in military aid only
Kwamba, wakati Israel ilipokea, by the time, $3 Billion in MILITARY AID but there's no ECONOMIC AID!! Lakini kutokana na ushabiki maandazi ulionao kwa "taifa teule" au probably inawezekana lugha na yenyewe ikawa ni kikwazo kwako; basi ukadhani hiyo $ 3 Billion mkopo!!! Jomba, ni msaada huo...
That having said, suala la Israel kupokea msaada wa zaidi ya TZS Trillion 8 kwa mwaka lipo pale pale... acha ushabiki maandazi kwa Israel wakati kila apendae kufahamu, anafahamu backup wanayopata Israel toka USA!
Maelezo kwamba:
FIRST, IT’S important to remember that about 70 percent of the $3 billion aid must be used by Israel to purchase American military equipment. This provides real support for US high- tech defense jobs and contributes to maintaining our industrial base. This helps the US stay at the very top in the manufacturing of our own cutting-edge military munitions, aircraft, vehicles, missiles and virtually every defensive and offensive weapon in the US arsenal – with the added contribution of Israel’s renowned technical know-how.
Hayo ni maelezo ya kawaida kwenye masuala ya uhusiano/ushirikiano wa kimataifa! Hata Afrika ndivyo tunavyosema kwamba, misaada ya Wazungu kwa Afrika inawanufaisha Wazungu wenyewe... wanachukua dhahabu na almas yetu, wanachukua mazao yetu ya kilimo, wanachukua kila aina ya raslimali zetu zinazoenda kujenga uchumi wao na kuongeza ajira kwao!
Na kwamba, hata hiki wanachotupatia kama misaada is just a peanut of what they take from Afrika!
Na hoja kwamba:
Third, given Israel’s strategic location on the Mediterranean, with access to the Red Sea and other vital international shipping and military lanes of commerce and traffic, it is critically important to the US that Israel continues to serve as a port of call for our troops, ships, aircraft and intelligence operations.
Ni hoja ambayo nilishaongea tangu juzi kuonesha jinsi Middle East ilivyo strategic location kwa US pale niliposema kwamba:
Aidha kuna siku niliwahi kuelezea hapa; ukiacha simulizi za kutaka mafuta, ni kwanini US wanang'ang'ania Middle East!
Nikasema kwamba, Middle East ni makutano ya world's military superpowers... yaani Russia & US!
Ukisoma jinsi Soviet ilivyokuwa inajitanua enzi hizo, ilikuwa tayari imeshaimeza West Asia na ilikuwa inakuja Middle East. Ni kutokana na hilo ndio maana yapo mataifa ya Kiislamu kutoka West Asia ambayo yalikuwa sehemu ya Soviet Union!
So, ili US kui-block Soviet isijitanue zaidi; wakalazimika kupiga kambi Middle East na kudumisha uhusiano na washirika wake!
Inafahamika, ni Israel na Saudi Arabia ndio washirika wakubwa eneo hilo!
Bila shaka hata kama wewe ungekuwa ndie mwenye maamuzi ndani ya US halafu unatakiwa uwekeze wapi mabilioni ya US kati ya Israel na Saudi Arabia ili kuendeleza ushawishi wako ndani ya Middle East; bila shaka ungeamua kuwekeza Israel badala ya Saudi Arabia!
Hiyo ni hoja niliyoongea tangu juzi. Ukiangalia kwa makini, utaona ni hoja iliyokaa from personal judgment/analysis na sio wewe uliehangaika kwenda Google halafu bado unadai eti unajua siasa!!!
Hapo kwenye BLUE & RED nilisha-conclude tangu juzi ni kwanini US ni muhimu kwao kuisaidia Israel compared na mshirika wake mwingine (Saud Arabia) ambae, hata hivyo, ni mshirika asiye na njaa ya kutaka kusaidiwa!
Israel also has permitted the US to stockpile arms, fuel, munitions and other supplies on its soil to be accessed whenever America needs them in the region.
Hivi nyie wafuasi wa Taifa Teule huwa mnasoma kweli?! Hili na lenyewe si nimeshaliongelea tangu juzi pale niliposema:
Huo upande mmoja. Kingine: je umewahi kusikia kitu kinaitwa WRSA-I; yaani War Reserve Stockpile Ammunition-Israel?
Kama hujawahi kusikia, hiyo ni kama ghala la Kijeshi la Marekani lililopo Israel na lina kila kitu kinachohitajika kwa vita!
Hii maana yake nini? Leo hii US au Mshirika wake wa kijeshi akitaka kumshambulia Iran; hana haja ya kwenda US kukusanya mzigo kwa ajili ya kuingia vitani kwa sababu tayari wana stock ya kutosha waliyoiweka Israel!
That having said, msaada ni mkubwa kv Israeli inatumika pia kama ghala la US!
Aidha kwamba,
Fourth, America’s special relationship with Israel provides the US with real-time, minute-to-minute access to one of the best intelligence services in the world: Israel’s. With Israeli agents gathering intelligence and taking action throughout the Middle East and, literally, around the world, regarding al- Qaida, Hizbullah, Iran and Hamas, among others, the US receives invaluable information about anti-US and terrorist organizations and regimes.
Oh Lord!! What else ambacho sijasema wakati tayari nilishasema kwamba:
Lakini pia usisahau what's so called War in Terror. Kwa miaka nenda rudi; CIA wamekuwa wakiitumia sana Pakistan's Inter-Intelligence Service; yaani ISI!
Hata hivyo, hivi sasa US hawaiamini sana ISI kwa sababu baadhi ya maofisa wake ni ma-extremists!
Ni hawa maofisa ndio ambao pia walisababisha zoezi la kumsaka Osama bin Laden kuwa gumu kwa sababu walikuwa wanavujisha taarifa kwa Al Qaeda!
Kutokana na hilo, ni Mossad pekee ndio wanaoweza kuaminika na US/CIA kwenye ukanda wa Middle East katika kufanya intelligence sharing!!
That having said, ukipenda mtoto sharti upende na mamake na ili watimize majukumu yao ni lazima uwagharamie!
Hujui Politics wewe dogo kaa hivyo hivyo tu there is no free lunch in this world American they are getting something in return na Usisikie Misaada tu kisiasa kuna mkopo pia huitwa Msaada i told American are not fool kugawa hivyo pesa hovyo... kafanye uchunguzi.
Endelea kubaki na kiburi chako cha Uyahudi Mweusi ukidhani kwamba unajua huku ukiishia kupoteza bundle ku-Google kuleta mambo ambayo nilishayaongea kitambo!!!!
But you know what? Do more biased research... utapata articles kibao za Wafuasi wa Taifa Teule wataokupatia maelezo
matamu matamu na utakayopenda ya ni kwanini US wana-invest hizo pesa kwa Israel!
Watakuambia maneno kama vile ni jinsi gani US isivyoweza kuendelea bila Israel... watakuambia jinsi uchumi wa Marekani ulivyoshikiliwa na Wayahudi! Watakuambia jinsi Marekani inavyotegemea Majiniasi ya Kiyahudi na porojo zingine kadha wa kadha!!!
But eh! Be careful kwa sababu, ukikurupuka na hivyo vi-article vyako utaishia kuumbuka mwenyewe!!!!