Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #221
Kwani waisrael ni dini gani?Uzuri wa mada za Israel and Palestine haziishi mapema.
Wenye dini zao wataingia humohumo
MayahudiKwani waisrael ni dini gani?
Hahahahaha Mkuu wewe Myahudi nini?naona povu linakutoka..!"12 tribes of Israel,walikuwa wanahangaika tu na ulimwengu,hiyo ni laana waliopewa na Mungu,tangu pale walipopinga Amri za Musa na Kumkataa Yesu kama Masaya,na bado watahangaika na hii dunia,hayo unayoyaona sasa ni nguvu za soda tu kwasababu mataifa makubwa wanawaunga mkono kwasababu mataifa makubwa wana maslahi na Middle East,Marekani na mataifa yenye nguvu wakiona Middleeast hakuna maslahi basi ujue na taifa la Israel limeangamiaπ
Asante sana mkuu.Mayahudi
Uyahudi ama Judaism. Kifupi dini ya Kiyahudi. Kwa maana kuwa Uyahudi ama Israeli kama taifa liliundwa kwa kuizunguka imani yao na agano la kidini na Mungu wao. Walipewa sheria ya sikukuu mbali mbali na miandamo ya miezi, sheria za dhambi na utakaso wa dhambi na sheria zilizosimamia utaratibu wote wa kijamii (Sacrificial Code, Ceremonial Code na Social code).Kwani waisrael ni dini gani?
Uyahudi ama Judaism. Kifupi dini ya Kiyahudi. Kwa maana kuwa Uyahudi ama Israeli kama taifa liliundwa kwa kuizunguka imani yao na agano la kidini na Mungu wao. Walipewa sheria ya sikukuu mbali mbali na miandamo ya miezi, sheria za dhambi na utakaso wa dhambi na sheria zilizosimamia utaratibu wote wa kijamii (Sacrificial Code, Ceremonial Code na Social code).
Umeongea nini mkuu,..Hata Mudy ni ahalil kitabu(watu wa vitabu),Wayahudi hawajawahi kuwa na nchi,ni kabila kama wamasai,walikuwa wanahangaika tu na dunia,..Pale mataifa yenye nguvu yakiacha kuwaunga mkono ndio mwisho wao,wataanza kuhangaika tena kama mwanzo
History always repeated by itself..
Yusufu alikuwa waziri mkuu wa misri? ππππππ nimecheka sana
Wapo wanaomkubali Yesu siku hizi. Hao wanaitwa " Messianic Jews." Wasingeukubali Ukristo matukio yote ya Kihistoria ya Kikristo yasingehifadhiwa na watu wasingeruhusiwa kwenda huko kutalii. Mwaka fulani "ultra Jews" walilichoma kanisa la Kikristo Evangelical Alliance Church of the Holy Land katika Mtaa wa Manabii - Neviim Street mjini Yersalemu. Serikali ililijenga upya kanisa hilo.Mayahudi wanamkubali Yesu/Nabii Issa?? Wanaukubali ukristo pia?
Mkuu,Papa gani alianzisha balaa!?Inaweza kuwa torati na Quran inaeleza kuhama kwa Ibrahim kutoka Mesolopania kwenda katika nchi ya Canaan,lakini Cannan sio nchi inayoitwa Israel kwa sasa,..Hii dini yenu ni cancer kwa ulimwengu,yule papa aliyeianzisha alileta balaa duniani.Maandiko matakatifu,torati yote inaonyesha Mwenyezi Mungu akiwapa ardhi na kueleza mipaka ya Israel wewe mvaa makobazi unakuja hapa kutudanganya hawa watu hawana nchi??Ama kweli Shetani ni nyoko!Ni baba wa uongo
Cheka tu, lakini ndo ukweli huo. Aliuzwa kwa wafanya biashara na ndugu zake, mke wa mfanya biashara Potifa, akamtamani, akataka ngono, Yusuph kakataa, mama kamtengenezea kesi akafungwa.Yusufu alikuwa waziri mkuu wa misri? ππππππ nimecheka sana
Ha ha ha yaani mfalme Saul, Daudi na Suleiman to mention few walikuwa wafalme bila kuwa na nchi? Hata vita maarufu ya Daud na Goliath hujui walikuwa wanapigania nini? Ama kweli islam ni disgrace[emoji30] [emoji27]Usijichanganye Mkuu,Wayahudi hawajawahi kuwa na nchi na ndio maana wamesambaa dunia kote,Urusi,Poland,Ujarumani Ukraine na nchi nyengine duniani wamejaa hawa jamaa,kama wangelikuwa na nchi basi wangelibakia sehemu moja
Wakristo nyinyi Maisha yote mnasoma kitabu chenu kinyume nyume,hamfahamu yale yalioandikwa kwenye Biblia,Mtume wa Mwisho kupelekewa Wayahudi ni Isa(Yesu),Wayahudi hawamkubali Yesu wanamuona tapeli tu,dini ya ki "Hebrew" hawamtambui Yesu,sasa Mungu kawasamehe lini,wakati kila mtume waliopelekewa na Mungu wamempinga!??Wayahudi wameanza kutawanywa miaka mingi tu kabla ya Yesu. Usiuchekelee ugomvi waliokuwa nao na Mungu wao. Wagombanao ndio wapatanao. Na Mungu wao amewasaidia sana hata katika historia yao ya hivi karibuni. Utawanyiko huo ulikwisha baada ya Mungu wao kuamua kuwasamehe na kuwarudisha nchini mwao. Hawakuanza mwaka 1948 kurudi kwao. Walianza kurudi kupitia akina Zerrubabel (535 BC) na Ezra (458 BC) walipokuja kujenga Hekalu erusalem. Baadaye Nehemeiah alirudi kujenga ukuta wa Jiji la Yerusalemu (445 BC). Kwa miaka mia toka 166 BC hadi 63 BC walikuwa huru wakijitawala wenyewe. Walikataa kukandamizwa na Antioko Epiphanes (1V) wa Syria (Myunani). Unasema hawajawahi kuwa na nchi! Rejea historia ya Familia ya Judas Maccabee ama Wamakabayo ndipo utaelewa moyo wa kizalendo walio nao akina Netanyahu akina Ehud Barak na zaidi sana Bibi Golda Meir. Walirudi siku nyingi hata wakaa huru ila wakashambuliwa tena wakapelekwa uhamishomi tena. Sasa hawakubali tena kunyanyaswa. Jaribu uone.
Hoja za warabu weusi hata wa huko mbele, mi sijawahi kuziona. Hoja za wayahudi ziko wazi kabisa. Historia yao hutumii nguvu kuipata, ukisoma vitabu vitano vya Musa unaipata yote.Nani amechanganya! Kwani hatuijui Historia ya Israeli? Mtu anaipataje nchi yake? Anapewa na nani? Nani alimpa Adamu na Hawa hii dunia? Naini aliwatawanya watu duniani kutokea Babeli na kuanzisha makabila na lugha tofauti? Wayahudi hawakuwahi kuwa na nchi? Ibrahimu aliamabiwa juu ya ziara ya Israeli (uzao wake) ya miaka mia nne ugenini (Misri). Na Mungu akamwambia baada ya hapo atawatoa na kuwarejesha katika nchi hii (Kannani). Walipotoka Misri Joshua baada ya Musa kufa aliwarithisha nchi yao kabila kwa kabila kama vile Mungu alivyokuwa amepanga. Historia hii anaitumia sana Waziri Mkuu Netanyahu anapozungumza juu ya maslahi ya taifa la Israeli. Walitawanwya na Mungu mwenyewe na wakarudishwa nchini mwao na Mungu mwenyewe.
Hahahaa kaka Saul aka Paul kawa mfalme lini!?Soul kazaliwa Jerusalem wakati wa utawalawa wa Rumi(Roman Empire),Saul alikuwa mnyapara kazi yake ilikuwa kuwasaidia warumi kuwasaka wafuasi wa Yesu na kuwauwa,...kwani Solomon(Suleiman) alikuwa anaishi Israel!Ha ha ha yaani mfalme Saul, Daudi na Suleiman to mention few walikuwa wafalme bila kuwa na nchi? Hata vita maarufu ya Daud na Goliath hujui walikuwa wanapigania nini? Ama kweli islam ni disgrace[emoji30] [emoji27]
Yaani Mungu awape hekima ya kufuatilia mambo. Kifupi tu ni kuwa hakuna wa kuifuta Israel. Hivi wewe huogopi watu ambao wamesambaa dunia nzima lakini hawasahau kwao? Huoni ajabu watu wamesambaa lakini utamaduni wao unabaki kuwa vilevile bila kubadilika? Huoni tu huo ni muujiza?Hahahahaha Mkuu wewe Myahudi nini?naona povu linakutoka..!"12 tribes of Israel,walikuwa wanahangaika tu na ulimwengu,hiyo ni laana waliopewa na Mungu,tangu pale walipopinga Amri za Musa na Kumkataa Yesu kama Masaya,na bado watahangaika na hii dunia,hayo unayoyaona sasa ni nguvu za soda tu kwasababu mataifa makubwa wanawaunga mkono kwasababu mataifa makubwa wana maslahi na Middle East,Marekani na mataifa yenye nguvu wakiona Middleeast hakuna maslahi basi ujue na taifa la Israel limeangamiaπ
Wamasai wako lakini hawana Ardhi,Waisrael wameumbwa kuhangaika tu,na wataendelea kuhangaika,kwanini unafikiri walijaa na bado wamejaa nchi za Ulaya Mashariki,Urusi,Poland,Ukraine, nk,kama walipewa chi wangelikaa katika nchi yao,Waisrael wawashukuru Waingereza kwa kuwapatia Ardhi Palestina,Unajua kwamba Waingereza walitaka kuwapatia hawa watu Ardhi Uganda kabla ya kuamuliwa wapewe Ardhi PalestinaHoja za warabu weusi hata wa huko mbele, mi sijawahi kuziona. Hoja za wayahudi ziko wazi kabisa. Historia yao hutumii nguvu kuipata, ukisoma vitabu vitano vya Musa unaipata yote.
Inawezekanaje wawepo, wawe na ufalme lakini wakose ardhi? Jambo geni sana hili