Messi aitunishia misuli Serikali ya Israel, Serikali yafyata

Sisi Waislam tuanamini kuwa Yesu kaja kwa waisrael tu,Hayo kasema mwenyewe Yesu katika Biblia vile vile yamelezwa na Mungu katika Quran..Kuna visa vingi vinavyoeleza kuwa Yesu alitumwa kwa wana wa Israel(bani Israel)tu,lakini nitakuwekea kisa kimoja cha kusikitisha ambacho kinaelezwa katika matayo 15:22-24

Siku moja katika matembezi yake Yesu na wanafunzi wake,alitokea mama mmoja akiwa na mwanawe,huyu mama na mwanawe walikuwa sio wayahudi,Mama alimuomba Yesu amsaidie kumtoa mwanawe Pepo,kwani mtoto wa yule mama alikuwa anaumwa sana..

Chakushangaza Yesu alikataa kata kata kumtibu yule mtoto,Yesu alifanya hivyo mbele ya wanafunzi wake,wanafunzi alipomuuliza kwanini hataki kutibu yule mtoto Yesu alimjibu kuwa yeye katumwa kwa waisrael tu

Matayo 15:22-24 Neno: Bibilia Takatifu
2
2 Mwanamke mmoja Mkanaani (Mwenyeji wa Cannan)aliyeishi sehemu hizo akaja kwake(Yesu), akamlilia, akasema, “Nihurumie, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa na pepo na anasumbuka sana.”
23 Lakini Yesu hakumjibu neno. Basi wanafunzi wake wakamwendea wakamwomba, “Mwambie aende zake, kwa maana anaendelea kutupigia kelele. ”
24 Akajibu, “Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli walioopotea.”


Mkuu haya ni maneno ya Yesu mwenyewe, naomba uangalie neno "Nimetumwa" halafu nataka utafakari Yesu alitumwa na nani,hii ni kwa wale wanaosema Yesu ni Mungu,...Hapa Yesu amekusudia kuwa katumwa na Mungu kwa ajili ya wana wa Israel tu, na huu ndio msimamo wa waisalam..

Kuna kisa chengine kwenye Biblia Yesu aliwambia wanafunzi wake kuwa waende wakahubiri kwenye nyumba za wana Israel tu,Mkuu mimi na wewe hatumo katika hii dini ya Kikristo tunajipendkeza tu,Yesu mwenyewe kadhihirisha hayo
 
For your Information Taifa la Israel lilikuwepo kabla ya hayo mataifa unayoyajua. Nenda ukagoogle tu utapata jibu. i hope wewe ni Mwehu

The Nation of Israel
Throughout the book of Deuteronomy, God gave detailed instructions to His people on how they were to live when they arrived in Canaan, the land that God had promised to Abraham. These instructions even included the kind of government they should form. At first, they would be ruled by a series of judges (hence, the book of Judges). Then, in Deuteronomy 17:14-15, God told the Israelites that kings should rule over the people, but only those kings who were specifically chosen (anointed) by God.

Although Saul, the first king of Israel, was appointed by God, he was ultimately disobedient and greatly lacking in faith. God did not continue the rule of Israel through Saul's line (Saul's son did not succeed him as king).

As we saw in the first section of this booklet, the various books of the Bible can be grouped by the type of literature (genre) they represent. The first eight books, Genesis through Ruth, relate the events of early history in chronological order (the order in which they happened). The story of the nation of Israel is told in a number of books of the Old Testament, but not in chronological order. To make better sense of what happened to whom and when, it is helpful to find a reference book (many Bibles have such references) that provides a timeline of when events unfolded and where those stories can be found in the Old Testament. Here is a very abbreviated table of the kings who ruled over Israel and where their stories can be found in the Old Testament:


Approximate Date King Old Testament Books
1050 B.C. Saul 1 Samuel, 1 Chronicles
1010 B.C. David 2 Samuel, 1 Chronicles
(most of Psalms written)
970 B.C. Solomon 1 Kings, 2 Chronicles
(Song of Solomon,
Ecclesiastes, Proverbs
)
925 B.C. - 722 B.C. Many Kings 1 Kings, 2 Kings, 2 Chronicles
Israel Splits Into Two Kingdoms for Both (Proverbs)

King David
The man who would become the next, and perhaps greatest, king of Israel came from an unlikely source. David was the youngest son (not the eldest, as was traditional) of a man who lived in a very remote town called Bethlehem. (Sound familiar?) It was through David's line (his descendants) that Jesus would be born!

As with all of the previous men God had chosen to help Him carry out His will in the world, David was not perfect. He committed very serious sins in his time as king. Yet, in I Samuel 13:14, God tells the prophet Samuel that David is a man after God's own heart.
 
Naona unajistukia maana ubishalo halipo kwenye anga.. Silaha anazonunua Israel ni zile ambazo ameshiriki kuziunda naposema Israel namaanisha wanasayansi na viwanda vya Israel vinavyoshirikiana na Serikali ya Marekani. even though katika Serikali ya Marekani kuna Wyahudi mapaa na katika viwanda vya Marekani kuna Wayahudi matop so unavyotaka kuwatofautisha ndipo unaposhangaza sana... MAmbo ya vyuo ni mfumo wa elimu wao ni kama huu wa seminari za tz ukiwa boya unaondoshwa wanabaki mabright tu kaulize vizuri kule havard kama kuna maboya so kwa mfumo huo chuo lazima kiwe namba za juu za ubora kutokana na matokeo... hivi unaleta ligi na mimi kwa lipi haswa?
 
Messi yupo sahihi.
Mkuu Hajazungumza hayo maneno bali kalishwa tu na Bujibuji aka Gilesi. kuleta habari kwenye radio mbao Wachezaji hawahusiki kwa lolote katika maamuzi wao ni kama bendera tu hata wakibisha chama cha soccer ndio kinaamua na sio mchezaji kwani ban lake hatopenda kupewa akigoma kuchezea National Team pengije Soccer ndio inaweza kuwa Bye bye
 

Mkuu ,mvaa makobazi mwenzio alikua anasema Wakristo hafufanyi tohara na biblia inafundisha tufanyiwe tohata,mistari hiyo hapo inaeleza kuhusu tohara ya rohoni na siyo mwilini jinsi mnaelewa.Nawe ni mtu wa mwilini ndio maana haujaelewa mambo ya rohoni,ungekua mtu wa rohoni ungekua ushanielewa,amua kumpokea Yesu ndugu atakupa akili mpya
 
Mimi nafuata mafundisho na vitendo vya Yesu,simsifu majukwaani tu..wewe umempokea Yesu Mkuu?,Je unafanya yale aliyofanya au unafuata ya Paulo.?., umekata Govi,umeacha kula kiti moto?

Maana ya "tohara ya rohoni" ni kuokoka..kuwa msafi katika kumcha Mungu "Salvation",sasa wewe sijui unafikiri "Tohara ya rohoni" imekusudiwa nini ??
 
Sio kinyumenyume tu pia kila mwaka wanabadilisha bibilia (agano jipya na kongwe)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bigup
 
Eti najishitukia... ni nani anajishitukia kati yangu na wewe ambae unatoa maelezo mareeeeeeeeefu, kujaribu kukataa ukweli kwamba:

Mwaka 2016, Obama Administration ndiyo iliidhinisha huo msaada wa $38 Billion na bado wanataka kuwaongezea.... sasa wewe endelea na porojo zako kwamba eti hizo pesa US wananunua teknolojia Israel wakati ushaambiwa kabisa ni military aid!!!

Jerusalem Post, hawa hapa chini:


Wenye Israel yao hao hapo juu wanakuambia wazi kwamba ni military aid halafu wewe unakuja na ngonjera eti pesa anazotoa US kwa Israel ni kwa ajili ya kununua silaha na teknolojia!!

Congressional Research Service wanapigilia msumari hapa chini:


Sasa endeleeni na porojo zenu kwamba eti Israel haipigiki kwa sababu ni taifa teule wakati ukweli ni kwamba kuna wanaume wanalipia ulinzi wa Israel!!!
 
Hujui Politics wewe dogo kaa hivyo hivyo tu there is no free lunch in this world American they are getting something in return na Usisikie Misaada tu kisiasa kuna mkopo pia huitwa Msaada i told American are not fool kugawa hivyo pesa hovyo... kafanye uchunguzi.

BENEFITS OF US AID TO ISRAEL EXCEED COST
There is no economic aid to Israel, other than loan guarantees.
BY STEVE ROTHMAN

APRIL 9, 2010 09:00

The argument that American military aid to Israel is damaging to the United States is not only erroneous, it hurts the national security interests of this country and threatens the survival of Israel.

US support for Israel is essential, not only for Israel’s national security, but for America’s. Every bit of that support – and more – withstands all reasonable scrutiny.


Be the first to know - Join our Facebook page.



Under the 2010 US budget, about $75 billion, $65 billion and $3.25 billion will be spent on military operations and aid in Afghanistan, Iraq and Pakistan during this fiscal year, respectively. Israel will receive $3 billion, in military aid only. There is no economic aid to Israel, other than loan guarantees that continue to be repaid in full and on time.

There isn’t enough space here to discuss the relative merits of the expenditures in these other countries, but we already know the critically important return the US gets for helping its oldest, most trusted ally in the strategically important Middle East – the most powerful military force in that region, the pro-US, pro-West and democratic Jewish state of Israel.

Here’s how.

FIRST, IT’S important to remember that about 70 percent of the $3 billion aid must be used by Israel to purchase American military equipment. This provides real support for US high- tech defense jobs and contributes to maintaining our industrial base. This helps the US stay at the very top in the manufacturing of our own cutting-edge military munitions, aircraft, vehicles, missiles and virtually every defensive and offensive weapon in the US arsenal – with the added contribution of Israel’s renowned technical know-how.

Second, the US and Israel are jointly developing state- of-the-art missile defense capabilities in the David’s Sling and Arrow 3 systems. These two technologies build on the already successful Arrow 2, jointly developed by our two countries, which is already providing missile defense security to Israel and US civilians and ground troops throughout the region. The knowledge the US gains from these efforts also has a positive multiplier effect on applications to other US military and non-military uses and US jobs.




Third, given Israel’s strategic location on the Mediterranean, with access to the Red Sea and other vital international shipping and military lanes of commerce and traffic, it is critically important to the US that Israel continues to serve as a port of call for our troops, ships, aircraft and intelligence operations.

Israel also has permitted the US to stockpile arms, fuel, munitions and other supplies on its soil to be accessed whenever America needs them in the region.

Fourth, America’s special relationship with Israel provides the US with real-time, minute-to-minute access to one of the best intelligence services in the world: Israel’s. With Israeli agents gathering intelligence and taking action throughout the Middle East and, literally, around the world, regarding al- Qaida, Hizbullah, Iran and Hamas, among others, the US receives invaluable information about anti-US and terrorist organizations and regimes.

Fifth, imagine the additional terrible cost in US blood, and the hundreds of billions more of American taxpayer dollars, if Saddam Hussein had developed nuclear weapons, or if Syria possessed them.

Then remember that it was Israel that destroyed the almost-completed nuclear reactor at Osirak, Iraq, in 1981 and Syria’s nuclear facility under construction at Deir-ez-Zor in 2007.

And think about the many operations that Israel’s Defense Forces and intelligence agents have undertaken to foil, slow and disrupt Iran’s efforts to develop a nuclear weapons capability. A nuclear-armed Iran would threaten the lives of hundreds of thousands of Americans in the region, all of Iran’s Arab neighbors, the world’s largest oil supplies and those who rely on that oil. It also would provide anti-US terrorists with access to the most lethal Iranian technology and probably set off a nuclear arms race in the region.


FOR ABOUT two percent of what the US spends in Afghanistan, Iraq and Pakistan this year, Americans can take pride in the return on our investment in aid to Israel.

And with Israel’s truly invaluable assistance to America’s vital national security, we can take comfort that – in actions seen in Tehran and Damascus and noticed by al-Qaida and other anti-US terrorists everywhere – the US is safer and made more secure because of the mutually dependent and beneficial relationship between the US and Israel.

The writer is a Democratic congressman from New Jersey who serves on the House committees responsible for US military and foreign aid. – Bloomberg News
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…