Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
😅Messi anatembea tu uwanjani , hana maajabu ni tapeli .
Huu Ukorofi Umeanza lini lo??? Jana mtu mzima kaukalia
Hamna aliochofanya kwa kweli , kama hayupo vile .
Wapenzi wa France Madrid Ureno na Ronaldo mna nongwa sana.Messi anatembea tu uwanjani , hana maajabu ni tapeli .
Anyongwe huyu.Messi anatembea tu uwanjani , hana maajabu ni tapeli .
Huyu kinje ni mchezaji wa timu gani?Messi jana hakuwa tofauti na Kinjekitile Ngwale!