Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Ombi lako tunalishughulikia
Car toe mbweKwani kuna shida kwenye kibarua chako?
Anastahili ila sio RodriMbappe ndio alikua mchezaji bora wa mashindano.
Na katika watu wa mwisho wanaotakiwa kukaa kimya ni washabiki wa messi, eti kadhulumiwa! yeye amebeba tunzo asizostahiki mara ngapi?
Hujui lolote, huwezi nisaidia loloteModric wakati anachukua mchezaji bora wa world cup alikua na assist na goli ngapi?
Rodri anacheza kule deep midfielder ulitaka ashindane kufunga na washambuliaji ambao wapo kwenye final third ya mpinzani?
Vipi kuhusu golikipa yeye hapaswi kuwa mchezaji bora kwa sababu maisha yake yote ya soka anaweza kumaliza hana assist wala goli?
Kwa kukusaidia tu mchezaji bora ni yule aliecheza kwa ufasaha nafasi yake na kuwa na consistency ya kiwango bora kwenye mechi zote.
CCMHuyu kinje ni mchezaji wa timu gani?
Sio Samia yule.Messi anatembea tu uwanjani , hana maajabu ni tapeli .
Kampe wewe ... Alivyodhurumu tuzo ya Lewandowsk 2022, Sneijder 2010, Haaland 2023, Xavi, Iniesta, ... Kapewa tuzo 4 ambazo hakustahili... Na mkikaa kimyaRodri hana goal wala assist.
Messi ana goli 8 na assist 4.
Rodri mchezaji bora wa mashindano wakati Messi sio.
Hii ni dhuluma ya wazi kabisa.
Uchezaji bora(mzuri) na ugungaji bora.Rodri hana goal wala assist.
Messi ana goli 8 na assist 4.
Rodri mchezaji bora wa mashindano wakati Messi sio.
Hii ni dhuluma ya wazi kabisa.
Ribery,Iniesta,Lewandoski,Sneidjer!Yy wamedhulumiwa wangapi Tunzo akapewa yeye?
What goes around comes around
Janja Janja. Alitaka wawe kumi kumi😀Tukamseme FIFAView attachment 3633460
Pole sana mwanetuCar toe mbwe
Wewe ni msengerema mwanetuKampe wewe ... Alivyodhurumu tuzo ya Lewandowsk 2022, Sneijder 2010, Haaland 2023, Xavi, Iniesta, ... Kapewa tuzo 4 ambazo hakustahili... Na mkikaa kimya