Tetesi: Messi amezoa Tuzo 3

Sindano kama zote, kijelele

Awe mbilikimo, asiwe mbilikimo ndio Mungu kamuumba hivyo, na World cup amebaba, hakuna kombe ambalo hajabeba binadamu huyu aliejaaliwa kipaji..

Hebu nitajie mchezaji aliebeba makombe kama yote, na tuzo nyingi n.k n.k!!!
 
Mtoa mada Umeandika kana kwamba kila mtu anaifahamu hiyo IFFHS
 
Awe mbilikimo, asiwe mbilikimo ndio Mungu kamuumba hivyo, na World cup amebaba, hakuna kombe ambalo hajabeba binadamu huyu aliejaaliwa kipaji..

Hebu nitajie mchezaji aliebeba makombe kama yote, na tuzo nyingi n.k n.k!!!
Yeye ni wa kwanza.
 
Kwahiyo wewe binafsi unanufaika vipi na huu mchakato mzima
 
Kwani kwa kombe la dunia ni mwanasoka gani anaongoza kulibeba sana.TUANZIE HAPA.
 
Mfalme wa soka kuwahi kutokea akifanya mambo kama kawaida yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…