Tetesi: Messi amezoa Tuzo 3

Tangu niwe mfuatiliaji wa mpira mpaka leo hii tarehe 8 January 2023 bado sijaona wachezaji wa kuwakaribia "MESSI AND DIEGO ARMANDO MARADONA,
And it will take time to find players kama hawa...
Sahihi kabisa...

Kuna mmoja amejitahidi mno kushindana na La Pulga, huyu tumpe heshima yake japo kaishia njiani.
 

Yani ukiniambia nichague De lima, okocha, gaucho, iniesta, aguero, suarez, de maria, aise nitaondoka na cr7 japo sio shabiki wake. Ila linapokuja suala la wote aise Messi na Diego hakuna wa kufuata pale 😀😀 kiuchezaji na mafanikio tuu Messi asilinganishwe na mchezaji yeyote mkuu, ni My opinions tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…