yitzhak
JF-Expert Member
- Jul 3, 2019
- 616
- 853
Kwanini laliga ni ligi bora?
Imetoa mchezaji bora wa dunia kwa miaka kumi mfululizo
Mwaka huu ya mchezaji bora wa ulaya imeenda kwa mchezaji wa Uingereza ligi Namba mbili kwa ubora
Ilà. Tuzo ya mchezaji bora wa dunia imebakia Hispania
Je kuna haja ya Messi kuhama!
EPL na ujerumani zingetoa mchezaji bora wa dunia hata Mara moja messi angehama ligi
Timu za laliga zimechukua UEFA kwa kupokezana ndani ya miaka kumi kabla ya Liverpool kuchukua mwaka huu
Messi aende wapi?
Timu za laliga zimebeba kombe la Europa ndani ya miaka saba mfululizo kabla ya Chelsea na Manchester united kushinda
Messi aende wapi?
Ndio maana Messi almkatalia guardiola kwenda Manchester city japo angekuwa abalipwa million miamoja kwa SAA!
Kwasababu anacheza kwenye ligi bora
Messi amezitesa timu zote za ulaya kwenye mashindano ya uefa?
Je akihamia kule si atakuwa anafunga magoli 70+ kwa musimu!
Yaani ni sawa na mwanachuo aombe kuhama udsm ahamie saint john au Kampala university