Messi anacheza ligi bora kuliko zote duniani! Ahame aende wapi?

Messi anacheza ligi bora kuliko zote duniani! Ahame aende wapi?

yitzhak,
Paul schooled?
Leon Messi?

And you call yourself unajua mpira? Unadai unaangalia branding?
EPL is the best league in the world
 
Hicho huwa kigezo dhaifu sana wanachotumia watu wa timu Cr 7...Messi anaweza cheza popote duniani na atashine tu,kwani nini kitamzuia?lakini yupo ktk timu bora duniani fc barcelona na yupo ktk ligi bora kabisa duniani,aende wapi?

Mbona anacheza Argentina na haja shine?
 
Kucheza ktk ligi moja haiwaondolei hawa kuwa ni legends Wa kukumbukwa ktk mpira Wa miguu duniani-:
-Paul Scholes
-Alessandro Nesta
-Paul Maldin
-Alessandro Del Piero
-Andres Iniesta
N.k
 
Kweli LA LIGA ni bora?

Ligi ina timu kubwa mbili,
Ligi ambayo timu ndogo ikishinda dhidi ya hizo, hiyo ni habari.
Ligi ambayo mara zote 11 tuzo imetwaliwa na mtu 2.

Wakati EPL
Kila mechi ni fainali
Si ajabu kuona Wolves anapata matokeo darajani Highbury ooh sorry emirate, old trafford na kwingineko.
Ligi ambayo inalipa zaidi kwenye matangazo ya kibiashara.
Ukitafuta washindi wa tuzo za balon pale hukuti watu wanajirudia rudia kama LA LIGA.
Ligi ambayo inatimu kubwa 5, na zote hazibezi mechi hata na timu ilopanda daraja kwa mara ya kwanza.
Hivi kweli LA LIGA kkuna timu inaweza panda daraja na kutoa upinzani hadi kuvikwa ufalme wa msimu?

Hivi kweli LA LIGA ni bora kuliko EPL? Kama ndivyo, wazee wa mikeka mtanisaidi.
 
Lini EPL ilitoa mchezaji bora wa dunia!

Kama hujui mpira pita kushoto usikenue hapa
EPL hamna kitu, na hakuna timu kubwa EPL tunadanganyana tuu labda tuseme timu zenye pesa na maarufu , na hii inatokana na nchi ya uingereza kufanya mpira uwe biashara, Ila performance hakuna , rushwa Tu imejaa kule, Et timu Kubwa Man u , Kwa kubeba makombe ya rushwa , timu kubwa ina UEFA mbili in their history? Et Paul schoels ni legend , kwa lipi? Kwa domestic cups, ??? Watutolee upupu hapa......
 
Hiyo ligi bora mbona hatuoni ikitoa wachezaji bora? Ndani ya miaka 20 imectoa mchezaji bora mara moja tu halafu unataka utwambie ni bora kuliko ligi iliyotoa wachezaji bora zaidi ya mara 15.

Hizo timu mbili ndio zinazoongoza kwa kutoa wachezaji bora duniani na zaidi ya miaka 20 kwenye first 11 ya hizo timu hazijawai kukoasa mchezaji bora wa dunia, hata EPL kila mchezaji akionyesha uwezo mkubwa anajiona anastahili kwenda kuchezea hizo timu.

Wewe ukiwa kwenye keyboard unaona hizo timu mbili ziko sawa na zingine lakini wachezaji wenyewe ndoto zao ni kuchezea hizo timu mbili.
 
Christiano ronaldo alito
Kwanini laliga ni ligi bora?

Imetoa mchezaji bora wa dunia kwa miaka kumi mfululizo
Mwaka huu ya mchezaji bora wa ulaya imeenda kwa mchezaji wa Uingereza ligi Namba mbili kwa ubora

Ilà. Tuzo ya mchezaji bora wa dunia imebakia Hispania

Je kuna haja ya Messi kuhama!

EPL na ujerumani zingetoa mchezaji bora wa dunia hata Mara moja messi angehama ligi

Timu za laliga zimechukua UEFA kwa kupokezana ndani ya miaka kumi kabla ya Liverpool kuchukua mwaka huu
Messi aende wapi?

Timu za laliga zimebeba kombe la Europa ndani ya miaka saba mfululizo kabla ya Chelsea na Manchester united kushinda

Messi aende wapi?

Ndio maana Messi almkatalia guardiola kwenda Manchester city japo angekuwa abalipwa million miamoja kwa SAA!

Kwasababu anacheza kwenye ligi bora


Messi amezitesa timu zote za ulaya kwenye mashindano ya uefa?
Je akihamia kule si atakuwa anafunga magoli 70+ kwa musimu!


Yaani ni sawa na mwanachuo aombe kuhama udsm ahamie saint john au Kampala university
christiano ronaldo alitoka uingereza kwenda kwenye ligi bora Hispania sasa messi Stoke ligi bora aende wapi!?
 
Aende timu gani labda!...tupe mfano!!
Mbona hamuelewi sio kwamba aende timu gani,Messi nje ya Barcelona hana tofauti na Molinga,Mfano akiwa nje ya Barcelona ni Argentina ameshafanya kitu gani cha maana.
 
kama kigezo cha ubora ni kucheza team nying na ligi nying basi Ibrahimovic ni G.O.A.T
Messi kama mwanaume kweli atoke hapo Barkalona, sote tumejionea amefanya nini akiwa Argentina
 
Back
Top Bottom