Messi anacheza ligi bora kuliko zote duniani! Ahame aende wapi?

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
Kwanini laliga ni ligi bora?

Imetoa mchezaji bora wa dunia kwa miaka kumi mfululizo
Mwaka huu ya mchezaji bora wa ulaya imeenda kwa mchezaji wa Uingereza ligi Namba mbili kwa ubora

Ilà. Tuzo ya mchezaji bora wa dunia imebakia Hispania

Je kuna haja ya Messi kuhama!

EPL na ujerumani zingetoa mchezaji bora wa dunia hata Mara moja messi angehama ligi

Timu za laliga zimechukua UEFA kwa kupokezana ndani ya miaka kumi kabla ya Liverpool kuchukua mwaka huu
Messi aende wapi?

Timu za laliga zimebeba kombe la Europa ndani ya miaka saba mfululizo kabla ya Chelsea na Manchester united kushinda

Messi aende wapi?

Ndio maana Messi almkatalia guardiola kwenda Manchester city japo angekuwa abalipwa million miamoja kwa SAA!

Kwasababu anacheza kwenye ligi bora


Messi amezitesa timu zote za ulaya kwenye mashindano ya uefa?
Je akihamia kule si atakuwa anafunga magoli 70+ kwa musimu!


Yaani ni sawa na mwanachuo aombe kuhama udsm ahamie saint john au Kampala university
 
Hicho huwa kigezo dhaifu sana wanachotumia watu wa timu Cr 7...Messi anaweza cheza popote duniani na atashine tu,kwani nini kitamzuia?lakini yupo ktk timu bora duniani fc barcelona na yupo ktk ligi bora kabisa duniani,aende wapi?
 
Ndio tunawaambia mchezaji bora wa dunia na ulaya ametoka laliga kwa miaka kumi mfululizo!

Ni utahira mchezaji kuhama lugi bora kwasababu ziszo na mashiko
Hicho huwa kihezo dhaifu sana wanachotumia watu wa timu Cr 7...Messi anaweza cheza popote duniani na atashine tu,kwani nini kitamzuia?lakini yupo ktk timu bora duniani fc barcelona na yupo ktk ligi bora kabisa duniani,aende wapi?
 
Utagundua wengi wanamdis messi ni wale hata mpira hawaangalii

Messi anakaba

Mesi anapandisha timu

Messi huwa anausoma mchezo anawapanga wachezaji uwanjani kulingana na pressure ya game ilivyo

Messi anapikuwa na mpira always hukabwa na watu watatu hadi watano na kurahisisha ushindi kwa timu

Messi anatoa assist


Sitaki kuzungumzia kuhusu kufunga hata malaika wanajua
 
Watu wote wa maana wanaoujua Moira dunuani Mara zote wakihojiwa husema Messi ni mungu wa mpira


Natamani siku moja nisikie maoni ya Mzee wangu dr leaky akimuelezea messi kwani huyu anaongea mpira tofauti na wachambuzi wengine wa Tanzania ambao wanauwezo mdogo mno kuhusu jicho la mpira au hawajui kabisa kuchambua

Unawasha redio unasikia mchambuzi anasema Messi hakustahili kuchukua tuzo aliyestahili ni van dik wa Liverpool eti kwasababu van dik anaweza asiwepo mwkani kwenye tuzo
Unajiuliza Hawa vilaza huwa wanaokotwa wapi kuja kuchambua mpira?

Hawajifunzi hata kwa wachambuzi wa supersport au huwa hawasikilizi hata maneno ya communitotor wa EPL watafisiri kwa kiswahili waje wawadanganye watanzania?
 
Mimi binafsi napenda kuangalia mechi nyingi za EPL kuliko laliga
Hii ni kutokana na branding ya ligi


Lakini mechi ya Barcelona huwa sikosi nafurahi kumwona messi anacheza the man is blessed

Unafurahi anatumia akili nyingi kuliko maguvu simply genius

Gaucho once said ....najuta sikucheza muda mrefu na messi

Kabla ya messi. Kwangu gaucho ndio alikuwa mchezaji bora wa dunia lkn luxury life zilimponza km zinavyomponza neymer sasa otherwise gaucho i could make most than he did


Kwangu Mimi wachezaji watano duniani kwa muda wote toka nianze kufuatilia mpira in

1.Leon Messi
2.Gaucho
3.Rivaldo
4.Paul schooled
5.Zidane and Ronald de Lima


Sitaki kuzungunzia Pele na maradona I never watched them
 
Lini EPL ilitoa mchezaji bora wa dunia?

EPL imechukua uefa Mara ngapi ndani ya miaka kumi!

Nyie ndio huwa mnasema messi hachezi vizuri timu ya Taifa kumbe hata mechi hamuaangalii
EPL is the best league in the world
 
Sio sehemu peke! Kitu ubachitakiwa kuelewa ni fact!

Tumesema Laliga is the best league in the world
Tukatoa sababu

Laliga ni bora kwasababu kuu mbili za kimpira na sio kusiasa

Sababu ya kwanza
.kombe la uefa limeenda Spain kwa miaka kumi mfuliluzo

Kombe la uropa limeenda Spain kwa miaka saba mfululuzo

Wachezaji bora wa uefa wametoka laliga ndani ya miaka kumi mfululizo!

Nini zaidi kitakchomfanya mesi aondoke ligi bora ahamie kwenye ligi iluyoanguka na ilyokosa mvuto km seria A Italy kutokana na upangaji wa matokeo!
Hahahahahahahahah Kwahiyo Barcelona ndio sehemu pekee ya Messi kuonyesha Ubora wake,Kipaji cheke,na Ufalme wake si ndio.
 
yitzhak,
Mbona maelezo mengi Mkuu, Messi nje ya Barcelona hana lolote atakalolifanya nje ya Barcelona kuna timu ya Taifa ya Argentina ameisaidia nini Taifa lake akistaafu leo Wa Argentina watamkumbuka kwa kipi Messi nje ya Barcelona hana mafanikio yoyote huo ndio ukweli.
 
Ulivyoandika tu nje ya Barcelona nikajua tayari wewe ni miongoni mwa mashabiki wajinga wasio jua mpira!

Unazijua takwimu za messi akiwa timu ya Taifa?

Au nafanya mjadala na kilaza?
 
Ulivyoandika tu nje ya Barcelona nikajua tayari wewe ni miongoni mwa mashabiki wajinga wasio jua mpira!

Unazijua takwimu za messi akiwa timu ya Taifa?

Au nafanya mjadala na kilaza?
Ana Makombe Mangapi akiwa na Argentina
 
Ulivyoandika tu nje ya Barcelona nikajua tayari wewe ni miongoni mwa mashabiki wajinga wasio jua mpira!

Unazijua takwimu za messi akiwa timu ya Taifa?

Au nafanya mjadala na kilaza?
Kwanini hicho kipaji chake kimeshindwa kuisaidia Argentina miaka nenda Rudi kila mara yenye ndio amekuwa mtu wa kujiliza kama mtoto mdogo.
 
Miaka 11 mfululizo d'Or zinaenda LaLiga tu, hii inazidi kuwavutia vipaji kuitamani zaidi LaLiga ili wakajitengenezee records nzuri nzuri na hii itazidi kuifanya LaLiga iendelee kutamba miaka na miaka.

By the way Natamani kuwaona the like of Mbappe na wengine LaLiga.
 
Mbape must play Madrid or Barcelona timu ambazo ziko fucosed na makombe
 
Kwako wewe Lewandoski siyo bora sababu Poland haichukui vikombe?. Au Mbwana Samatha hajui kitu? Unajua ni nani anaongoza kufunga magoli timu ya taifa Argentina? Muwe munaangalia kwanza mpira na kusoma takwimu., siyo unamsikiliza Luambano halafu unajiona expert.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…