Hicho huwa kigezo dhaifu sana wanachotumia watu wa timu Cr 7...Messi anaweza cheza popote duniani na atashine tu,kwani nini kitamzuia?lakini yupo ktk timu bora duniani fc barcelona na yupo ktk ligi bora kabisa duniani,aende wapi?
Kama naniKama mwanaume kweli ahame ligi, ahame timu. Wanaume wa kweli wanafanyaga hivyo
Hahahahahahahahah Kwahiyo Barcelona ndio sehemu pekee ya Messi kuonyesha Ubora wake,Kipaji cheke,na Ufalme wake si ndio.
EPL hamna kitu, na hakuna timu kubwa EPL tunadanganyana tuu labda tuseme timu zenye pesa na maarufu , na hii inatokana na nchi ya uingereza kufanya mpira uwe biashara, Ila performance hakuna , rushwa Tu imejaa kule, Et timu Kubwa Man u , Kwa kubeba makombe ya rushwa , timu kubwa ina UEFA mbili in their history? Et Paul schoels ni legend , kwa lipi? Kwa domestic cups, ??? Watutolee upupu hapa......Lini EPL ilitoa mchezaji bora wa dunia!
Kama hujui mpira pita kushoto usikenue hapa
2008 Christiano Ronaldo alikua anachezea ligi ganiLini EPL ilitoa mchezaji bora wa dunia!
Kama hujui mpira pita kushoto usikenue hapa
UnamjuaKama nani
christiano ronaldo alitoka uingereza kwenda kwenye ligi bora Hispania sasa messi Stoke ligi bora aende wapi!?Kwanini laliga ni ligi bora?
Imetoa mchezaji bora wa dunia kwa miaka kumi mfululizo
Mwaka huu ya mchezaji bora wa ulaya imeenda kwa mchezaji wa Uingereza ligi Namba mbili kwa ubora
Ilà. Tuzo ya mchezaji bora wa dunia imebakia Hispania
Je kuna haja ya Messi kuhama!
EPL na ujerumani zingetoa mchezaji bora wa dunia hata Mara moja messi angehama ligi
Timu za laliga zimechukua UEFA kwa kupokezana ndani ya miaka kumi kabla ya Liverpool kuchukua mwaka huu
Messi aende wapi?
Timu za laliga zimebeba kombe la Europa ndani ya miaka saba mfululizo kabla ya Chelsea na Manchester united kushinda
Messi aende wapi?
Ndio maana Messi almkatalia guardiola kwenda Manchester city japo angekuwa abalipwa million miamoja kwa SAA!
Kwasababu anacheza kwenye ligi bora
Messi amezitesa timu zote za ulaya kwenye mashindano ya uefa?
Je akihamia kule si atakuwa anafunga magoli 70+ kwa musimu!
Yaani ni sawa na mwanachuo aombe kuhama udsm ahamie saint john au Kampala university
Aende timu gani labda!...tupe mfano!!Hahahahahahahahah Kwahiyo Barcelona ndio sehemu pekee ya Messi kuonyesha Ubora wake,Kipaji cheke,na Ufalme wake si ndio.
ulvyoona wewe anajipiga chenga mwenyeweHahahahahahahahah Kwahiyo Barcelona ndio sehemu pekee ya Messi kuonyesha Ubora wake,Kipaji cheke,na Ufalme wake si ndio.
Mbona hamuelewi sio kwamba aende timu gani,Messi nje ya Barcelona hana tofauti na Molinga,Mfano akiwa nje ya Barcelona ni Argentina ameshafanya kitu gani cha maana.Aende timu gani labda!...tupe mfano!!
Messi kama mwanaume kweli atoke hapo Barkalona, sote tumejionea amefanya nini akiwa Argentinakama kigezo cha ubora ni kucheza team nying na ligi nying basi Ibrahimovic ni G.O.A.T