Messi anacheza ligi bora kuliko zote duniani! Ahame aende wapi?

Fact...messi hawezi kuhama ligi bora iliyobeba uefa miaka 10 mfululizo

Aende zile ligi zinachokua uefa Mara moja kwa miaka kumi
Hata Pele hakuhama Santos hadi alipozeeka kimpira. Ngojeni Messi azeeke ndiyo aende ligi mbovu kama EPL.
 
Hawa ni watu wasio jua mpira ila ni kelele tu
 
Ahame ligi bora dunuani aende wapi?

Uefa imeenda laliga miaka kumi mfululizi

Wachezaji bora wa dunia wametoka laliga miaka kumi mfululizo

Ahame laliga aende kwenye ligi gani? Akacheze peke yake sayari ya mars?
Kama mwanaume kweli ahame ligi, ahame timu. Wanaume wa kweli wanafanyaga hivyo
 
Well said hilo ndio jicho la Mpira

Kucheza ktk ligi moja haiwaondolei hawa kuwa ni legends Wa kukumbukwa ktk mpira Wa miguu duniani-:
-Paul Scholes
-Alessandro Nesta
-Paul Maldin
-Alessandro Del Piero
-Andres Iniesta
N.k
 
Messi kama mwanaume kweli atoke hapo Barkalona, sote tumejionea amefanya nini akiwa Argentina
atoke aende timu gani na ligi gani?

unataka atoke ujionee nini ambacho hajakifanya akiwa Barcelona?
 
Unamwangalia messi akiwa timu ya Taifa?

Kuna mechi hata moja amewahi kucheza chini ya kiwango?

Unajua kuwa Argentina imecheza fainali ya kombe la dunia?
Messi kama mwanaume kweli atoke hapo Barkalona, sote tumejionea amefanya nini akiwa Argentina
 
Huwa unaangalia mechi za timu ya taifa ya Argentina?
Au unaongea kujifurahisha
Mbona hamuelewi sio kwamba aende timu gani,Messi nje ya Barcelona hana tofauti na Molinga,Mfano akiwa nje ya Barcelona ni Argentina ameshafanya kitu gani cha maana.
 
Tatizo wanaujua ukweli ila hawataki kukiri hadharani
Christiano ronaldo alito
christiano ronaldo alitoka uingereza kwenda kwenye ligi bora Hispania sasa messi Stoke ligi bora aende wapi!?
 
Hicho ndio kigezo cha ligi bora?

Nimeelewa nafanya convo na MTU wa aina gani
EPL ni ligi bora kabisa kupata kutokea.
kuna watu hapa wanasifia laliga, lakini ikitokea mechi zimegongana muda Real betis vs Getafe halafu huku kuna Wolves vs Crystal palace, hapo mtu ataangalia mechi ya EPL.
Tuache unafiki
 
Wanajua ukweli ila wanaleta ubishi

Mfano FIFA imetoa kikosi bora cha miaka kumi ikiyopita

Ila mchezaji wa EPL kaingia moja tu Steven Gerrard. The rest 97% wanatokea laliga
 
Kwa jinsi ulivyomumwambafai hapa, ningependa atue timu yoyote hata Simba ili athibitishe haya maneno uliyompamba hapa.

Kama atayathibitisha basi haina shaka atabaki kuwa kileleni Duniani kama unavyomkubali sasa.
 
Unazijua takwimu za messi akiwa timu ya Taifa?

Ziweke hizo takwimu hapa ili mjadala uende vyema.

Hiyo ndio namna bora ya mjadala, ukigundua unayejadili naye hajui kitu, muoneshe ili ajionee na yeye apinge kwa hoja.
 
Unamletea takwimu MTU ambaye anasema messi hafanyi vizuri akiwa timu ya Taifa! Ni kumwacha na ujinga wake

Messi ndio mfungaji bora wa muda wote wa Argentina

Na rekodi nyingine nyingi
Ziweke hizo takwimu hapa ili mjadala uende vyema.

Hiyo ndio namna bora ya mjadala, ukigundua unayejadili naye hajui kitu, muoneshe ili ajionee na yeye apinge kwa hoja.
 
Huyu Paul Schooled ni nani? Au refa?
 
Unamletea takwimu MTU ambaye anasema messi hafanyi vizuri akiwa timu ya Taifa! Ni kumwacha na ujinga wake

Messi ndio mfungaji bora wa muda wote wa Argentina

Na rekodi nyingine nyingi
Tuondolee upupu wako hapa,kwani Ronaldo sio mfungaji bora wa portugal?

Sasa wananchi wa Argentina watamkumbuka messi kwa lipi? au magoli yake yasiyowapa kombe lolote?
 
Neymar jr inamkositi hadi muda huu unapitia hizi comment hasa yangu hii,huwezi toka barca unaenda PSG ,unatakiwa utoke PSG ,juventus manchester city au united,Liverpool,unaenda Barcelona au madridi real..ukimaliza shughuli haposasa unaweza fikilia ,utundike daluga au ukapoteza muda juventus,afrikan lyoni,au mtibwa sugar
 
Hapa hatumwongelei mviziaji Rinaldo

Fungua Uzi wa Reinaldo watachangia wajinga wenzako

Huu Uzi unamuhusu mchezaji bora wa muda wote toka dunia iumbwe

Usilete shobo kwangu
Tuondolee upupu wako hapa,kwani Ronaldo sio mfungaji bora wa portugal?

Sasa wananchi wa Argentina watamkumbuka messi kwa lipi? au magoli yake yasiyowapa kombe lolote?
 
Nimegundua nafanya convo na MTU asiyefatilia mpira

Nimekupa takwimu hapo juu
Kwanini messi hawezi kuhama laliga alafu unaleta mambo ya Simba

Sorry brother
Kwa jinsi ulivyomumwambafai hapa, ningependa atue timu yoyote hata Simba ili athibitishe haya maneno uliyompamba hapa.

Kama atayathibitisha basi haina shaka atabaki kuwa kileleni Duniani kama unavyomkubali sasa.
 
Hapa hatumwongelei mviziaji Rinaldo

Fungua Uzi wa Reinaldo watachangia wajinga wenzako

Huu Uzi unamuhusu mchezaji bora wa muda wote toka dunia iumbwe

Usilete shobo kwangu
Sawa naona unabwabwaja tu huna unachoongea!

jibu hapo wananchi wa Argentina watamkumbukia nini messi wakati hajawaletea kombe lolote?

Kwao wanamkubali zaidi Maradona kuliko hata huyo messi!

Huo ndio ukweli mchungu unaowatesa tim Messi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…