Messi anaenda kufunga 'hattrick' yake ya kwanza Kombe la Dunia katika mchezo dhidi ya Croatia

Messi anaenda kufunga 'hattrick' yake ya kwanza Kombe la Dunia katika mchezo dhidi ya Croatia

Hata Ronaldo alikua na lengo kama lako, lakini mwisho wa siku alilia kama mtoto alijikojolea kwenye Pampasi. Endelea kuota mkuu.
Pole kwa Ronaldo na ninaamini kila kitu kinaanza kama ndoto hivyo subiria kuona hii inayohusu Messi ikitokea.
 
Team yenyewe haishindi bila penalty ile dhulma waliyofanyiwa Netherlands ya Argentina kupewa penalty nje ya box leo inafika mwisho refa aliwabeba sana.
😂😂😂 Haters mnapitia kipindi kigumu sana. Argentina ndio bingwa.
 
Mwaka 1958 Pele alifunga hattrick kwenye nusu fainali na akaja kufunga mawili kwenye fainali.

Siku ya leo rekodi hiyo inaenda kufikiwa na Messi maana atafunga magoli matatu.

Vamos Argentina.
Mkuu Kila timu unayoshabikia lazima itoke!!
 
255626289143_status_f68edb34fdd44ac7b158dfd517d520c1.jpg
 
Mkuu Kila timu unayoshabikia lazima itoke!!
Basi haujawahi kunisoma humu ndani. Mimi tangu mwanzo nashabikia Argentina na kuzionya timu nyingi kutokana na uchezaji wao. Timu pekee ambayo nilikosea ni pale kwa ureno kumtoa Morocco.

Jamaa ana gandu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie hamjawahi kunisoma kwenye kipindi hiki cha kombe la dunia, mnajiongelea tu.

Mwaka 1958 Pele alifunga hattrick kwenye nusu fainali na akaja kufunga mawili kwenye fainali.

Siku ya leo rekodi hiyo inaenda kufikiwa na Messi maana atafunga magoli matatu.

Vamos Argentina.
Wanamnyonya mate asubuhi tu.
 
Back
Top Bottom