Hapa ni vice versa Argentina anaenda fainali na kulibeba kombe.
Na unataka watu wakubali kwakua umezaliwa juzi?Hapa jambo gani la kijinga? Pele hafikii uwezo wa Lionel Messi.
Msiba ulianzia Brazil ukaishia Portugal. Sasa Messi yeye ni burudani tu.Vamos Croatia .....
Ile ndoto kubwa ya Lionel Messi haitakaa itimie
Mashabiki wa Messi Andaeni Lesso msiba n mkubwa sana pale Doha
Sent using Jamii Forums mobile app
Messi anastafu na kombe, mtake msitakeMwaka 1958 Pele alifunga hattrick kwenye nusu fainali na akaja kufunga mawili kwenye fainali.
Siku ya leo rekodi hiyo inaenda kufikiwa na Messi maana atafunga magoli matatu.
Vamos Argentina.
Kwa mwenendo wa hii mechi nakuunga mkono kama sio hattrick basi anaondoka na goli 2 au assistBado mawili hattrick ifike