raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Huyo jamaa kama ana goli 100 basi 70 ni za free kickUnamfahamu Juninho?, huyu ndo fundi wa hiyo kazi Ulimwenguni.
Hana mshindani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa kama ana goli 100 basi 70 ni za free kickUnamfahamu Juninho?, huyu ndo fundi wa hiyo kazi Ulimwenguni.
Hana mshindani
Yes I got you buddahSio anastahili
Alishastahili kuwa GOAT wa dunia
Ni mashabiki wachache wa Ronaldo ndio wanapinga hilo
Masterclass kwenye masualaa ya free kickHuyo jamaa kama ana goli 100 basi 70 ni za free kick
Ana goli zaidi ya 77 za free kick pekeeHuyo jamaa kama ana goli 100 basi 70 ni za free kick
Yaaap messi ni 🐐 ndio ila huyo jamaa mwingine kwenye mipira iliyokufa alikuwa 🔥🔥🔥🔥🔥Masterclass kwenye masualaa ya free kick
Duuuh kumbe sijakosea sana 😄👍Ana goli zaidi ya 77 za free kick pekee
Nakubalii mwananguuuu🔥🔥🔥🔥Messi - total stats:
1️⃣0️⃣3️⃣2️⃣ games
8️⃣1️⃣4️⃣ goals🔥
3️⃣5️⃣8️⃣ assists
4️⃣3️⃣ trophies
6️⃣4️⃣ freekicks🔥
5️⃣7️⃣ hattricks
8️⃣ Pichichi
7️⃣ Ballon d'Or
7️⃣ FIFA Best Player
6️⃣ Golden Boot
3️⃣ UEFA Best Player
2️⃣ Laureus World Sportsman
Pamoja mkuuNakubalii mwananguuuu🔥🔥🔥🔥
Alafu ndo mwenye record bora kabisaUko sawa maana ndo uliyemuona
Basi umepitwa na freekicks za Juninho. Sidhani kama atatokea mwingine tenaBinafsi namtambua Messi tu
Weka video hapa siyo unaleta maneno matupu.Unamfahamu Juninho?, huyu ndo fundi wa hiyo kazi Ulimwenguni.
Hana mshindani
Alibahatisha tu.Mimi mpaka leo sielewi ilikuwaje mpira ukaingia golini uliopigwa na roberto carlos
Ila kabakisha free kick tisa amfikie Pelle na kwa mda aliokuwa nao kwenye club na timu ya taifa atampita hadi pele, labda Junihno ambaye ana 77.Messi sasa hivi ana 61.Mpira haujaanza jana, huyo ni msitaafu anakula mafao. Ni raia wa Brazil.
Messi kwenye upigaji wa Free kick hajawafikia mafundi wengine wa kazi hiyo kama Beckam, Zico, mtume na nabii wa mwisho wa soka (Ronaldinho) na Maradona.
Unaposema fundi wa free kick ulimwenguni ni Juninho Pernambucano ambaye aligundua knuckleball technique ya upigaji mpira ambayo mpaka kesho ni wachezaji wachache sana wanaoiweza.
Penda kutafuta baada ya kujuzwa jamboWeka video hapa siyo unaleta maneno matupu.