jibu ni rahisi sana hawez hata apewe nafas zote yeye but hata wezakumfikia miez 2 ni ming sna jua kuwa cr7 haiwezekan zipite mech hata 2-3 bila kufunga goli hata moja ni vigumu yaan mess kwa cr7 hamuwez kwa kutupia magol cr7 yuko juu aisee
Watanzania kwa kupenda ubishi usio na data. CR ana goli 8 mesi ana 4. Kumkuta anaweza ila kitu cha kufahamu mwaka huu kiatu hakiendi kwao aidha kwa neymar au Suarez