Messi hajaacha mambo yake, hatari sana.

Messi hajaacha mambo yake, hatari sana.

Ituzaingo Argentina

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2020
Posts
1,868
Reaction score
2,191

Huyu mwamba bado anaendeleza ubabe wake, huyo mchezaji nimemuonea huruma 😀😀

Kweli mpira una mtii huyu fundi

Kwangu mimi MESSI ni Best player ever ever ever..

ibanezafrica
 
He is magical but hiyo move ya kawaida sana. Ukiangalia alikua amemgeuzia mgongo huyo mchezaji na hata sio kwamba alianguka kwa sababu ya chenga bali aliurukia mpira akaukosa.
 
He is magical but hiyo move ya kawaida sana. Ukiangalia alikua amemgeuzia mgongo huyo mchezaji na hata sio kwamba alianguka kwa sababu ya chenga bali aliurukia mpira akaukosa.
Messi anavyopiga chenga na kufunga magoli unaweza kudhani mabeki na makipa wazembe...ama unaweza dhania mpira ni rahisi sana.
 
Back
Top Bottom