Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
acha kuniambia habari za UEFA za miaka ya 90 hukoo enzi hizo Barca timu sasa siku hizi wanamtegemea Pimbi yule oohoo kalalee mbelee huko...!! Miaka kumi sasa UEFA anaruka ruka tu..timu ya taifa mpaka akajiuzuru kuichezea[emoji23][emoji23][emoji23]
UNAWEZA NIAMBIA TAJI LA KWANZA LA BARCA UEFA LILITWALIWA MWAKA GANI? KOCHA ALIKUWA NANI? NAHODHA ALIKUWA NANI?
UNA UHAKIKA MIAKA YA 90 BARCA ILIKUWA TIMU TISHIO AU ILIKUWA INAJENGWA KUWA TISHIO?
HIVI UNAJUA ATHARI YA KUWA MTU BORA MAISHANI MWENYE KUTEGEMEWA SIKU ZOTE NA WATU WOTE WAKAKUAMINI, WAKAKUKABIDHI FURAHA ZAO MAISHANI?
NDUGU JIFUNZE JAMBO MAISHANI MWAKO AMBALO LITAKUSIBU HATA KAMA HAUKUWA MAARUFU KAMA ANDUNJE ( jina langu la utani kwa huyu jamaa).
JIFUNZE HAYA HAPA:
1. DUNIA INA WANAFIKI WENGI SANA, WANAKUPONGEZA LEO KWA SABABU UNA NGUVU, WAKATI UKIWA DHAIFU WATAANZA KUTOA KASORO ZAKO.mfano andunje, baada ya kupigwa liver kuku, andunje alitukanwa sana na mashabiki wanafiki wa barca wakidai kuwa amesababisha timu kufungwa. lakini barca inatinga nusu fainali kwa mabao yake 12, barca imetwaa ubingwa kwa goli lake akitokea benchi dhidi ya Levante.
2. USIFANYE CHOCHOTE KUTAKA PONGEZI KWA WATU. TIMIZA WAJIBU WAKO. Mfano; andunje. anatimiza wajibu wake.