Messi is better than CR 9

Messi is better than CR 9

Sio kwamba anaogopa bwanaa,wabongo kwa kuongeza salt hatujambo. Messi ni mtu wa watu,, anapenda na wenzie wafunge 😛😛😛😛
hahahahq kuna interview moja messi mwenyewe alisema kati ya vitu vinavyomuumiza kichwa kimojawapo ni hicho cha penati na anahitaji kuimprove.
 
Messi bila ile sindano asingenifikia hata Mimi kwa kiwango cha mpira, .... Inasemekana alipofikia meta moja urefu akaacha kukua... Thanks to Barca.

BTW. Messi ni bora kwa Barca
Ronaldo ni bora kwa Madrid
Nani bora zaidi ? Inategemea unaemuuliza anashabikia team gani.
 
Kwanza kuna tatizo moja kubwa hâta Zlatan Ibrahimovic amelisisitiza ya kwamba Messi na Ronaldo CR7 ni wachezaji wawili tofauti sana kwa hiyo kuwalinganisha ni vigumu pia. CR7 ni complète striker na kwa Mara nyingi ni Mtumwa kuhudumiwa sana amalizie kufunga. Wakati Messi ni Midfield Maestro+Striker+Winger na nafasi zote hizo tatu anazimudu kwa ustadiwa hali ya juu kabisa. CR7 sana sana achèzee Winger lkn Dribling skills zake ziko chini sana ukilinganisha na Messi. Messi Katibu kila siku kuchambua watu watatu au wanna uwanjani ni jambo la kawaida sana wakati CR7 kumpita hâta mtu mmoja kazi. CR7 huwa Mara nyingi anampita Messi kwenye idadi ya magoli kwa msimu lakini kwenye Assist+Passing+Turnovers+Goal Scoring Accuracy hajawahi hata siku moja kumpita. UKitaka ushahidi nenda Messi vs Ronaldo - Goals, Stats for Messi & Cristiano Ronaldo
Nimekuelewa sana mkuu hata kama unaushabiki wa mtu ila huu ni uchambuzi mzri.
Mi huwa na enjoye uwepo wa hawa watu Messi na Ronaldo japo kila mmoja ana ladha yake.
Zaidi nina muadmire Messi mana ana vitu vingi ninavyoenjoy kutoka kwake .
 
Hapo
Screenshot_20180426-154405.jpg
 
Ronaldo being a better goal scorer than Lionel Messi is a myth. Thread:

Most goals in a single season:

Lionel Messi - 73
Cristiano Ronaldo - 61

Messi holds the record for the most goals scored in a single season.

Most Goals in a calendar year

Lionel Messi - 91
Cristiano Ronaldo - 69

Messi holds the record for the most goals scored in a single year.

Goals scored since Ronaldo's move to Real Madrid in 2009:

Lionel Messi - 462
Cristiano Ronaldo - 443

No player has scored more than Messi in that time frame.

All time goals to game ratio:

Lionel Messi
749 Appearances
603 Goals
0.81 Ratio

Cristiano Ronaldo
900 Appearances
647 Goals
0.72 Ratio

Appearances needed for 100 Champions League goals:

Lionel Messi
123 Appearances
100 Goals

Cristiano Ronaldo
137 Appearances
100 Goals

Lionel Messi is the quickest player to ever reach 100 Champions League goals.

These are literally all straight facts. How are people trying to argue lol..

These are facts and there is nothing Cr7 fans can do about it

Spot on
 
Back
Top Bottom