Messi is better than CR 9

Sio kwamba anaogopa bwanaa,wabongo kwa kuongeza salt hatujambo. Messi ni mtu wa watu,, anapenda na wenzie wafunge 😛😛😛😛
hahahahq kuna interview moja messi mwenyewe alisema kati ya vitu vinavyomuumiza kichwa kimojawapo ni hicho cha penati na anahitaji kuimprove.
 
hahahahq kuna interview moja messi mwenyewe alisema kati ya vitu vinavyomuumiza kichwa kimojawapo ni hicho cha penati na anahitaji kuimprove.

😛😛😛😛 master freekick, ila kwa penati huwa ananiangusha sometimes
 
Messi bila ile sindano asingenifikia hata Mimi kwa kiwango cha mpira, .... Inasemekana alipofikia meta moja urefu akaacha kukua... Thanks to Barca.

BTW. Messi ni bora kwa Barca
Ronaldo ni bora kwa Madrid
Nani bora zaidi ? Inategemea unaemuuliza anashabikia team gani.
 
Rekodi za mesi ni katika Ligi MOja tu, wakati CR7 ni kwa ligi tatu tofauti...
 
Nimekuelewa sana mkuu hata kama unaushabiki wa mtu ila huu ni uchambuzi mzri.
Mi huwa na enjoye uwepo wa hawa watu Messi na Ronaldo japo kila mmoja ana ladha yake.
Zaidi nina muadmire Messi mana ana vitu vingi ninavyoenjoy kutoka kwake .
 

Spot on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…