Messi kaitema Barcelona

Messi kaitema Barcelona

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
17,640
Reaction score
22,748
Lionel Messi katika private jet yake akielekea katika jiji la Manchester kusaini mkataba wa kuichezea Man City kuanzia msimu ujaoCity wamethibitisha kuwa watamtambulisha Muargentina kama mchezaji wao leo 13:00 EAT katika Uwanja wao wa Etihad huku mashabiki 20,000 wakipewa kibali maalum cha kushuhudia utambulisho huo."
IMG-20210401-WA0125.jpg
 
Kuachana na hayo mambo ya siku ya wajinga, mtoa mada ni mjinga kweli kweli
 
Lionel Messi katika private jet yake akielekea katika jiji la Manchester kusaini mkataba wa kuichezea Man City kuanzia msimu ujaoCity wamethibitisha kuwa watamtambulisha Muargentina kama mchezaji wao leo 13:00 EAT katika Uwanja wao wa Etihad huku mashabiki 20,000 wakipewa kibali maalum cha kushuhudia utambulisho huo."View attachment 1740144
Upo serious au ndio siku ya wajinga duniani
 
Back
Top Bottom