Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Mwendo wa rekodi tu😁Baada ya hiyo mechi atastaafu tena na kukamilisha idadi ya kustaafu mara 3.
Yeah kwa rekodi yupo vizuri.Mwendo wa rekodi tu😁
A'm back, a'm back.Baada ya hiyo mechi atastaafu tena na kukamilisha idadi ya kustaafu mara 3.
Kabisa mkuu kwsababu Messi anacheza peke yake kwenye ile timu.Yeah kwa rekodi yupo vizuri.
Nyingine katoka kuiweka hapo juzi, kacheza mechi 8 bila ushindi.
Kwasababu akifunga tunasema kaisaidia timu yake kupata ushindi.Kabisa mkuu kwsababu Messi anacheza peke yake kwenye ile timu.