Messi kuwekwa kwenye Noti ya Argentina

Latin America hakuna nchi ya kistaarabu kama Argentina. Nimefika Buenos Aires mwaka 2016 nilienjoy sana. Ila jamaa wanapenda Mpira saaaaana. Nilifika makao makuu ya Boca Junior na Liverplate acha kabisa
Liverplate ipo nchi gani hii mkuu
 
Umemjibu kistaarabu sana dawa ya mjinga ni kuwa mjinga zaidi yake
Latin America hakuna nchi ya kistaarabu kama Argentina. Nimefika Buenos Aires mwaka 2016 nilienjoy sana. Ila jamaa wanapenda Mpira saaaaana. Nilifika makao makuu ya Boca Junior na Liverplate acha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…