Messi kuwekwa kwenye Noti ya Argentina

Messi kuwekwa kwenye Noti ya Argentina

Sasa kipi cha ajabu gani kwa nchi ya WAVUTA BANGI KAMA ARGENTINA.
MISS PENATI "Messi" is an overrated football player ever since the football was established in this world.

Mnisamehe bure kumbe nimepotea njia huu uzi haunihusu kabisa...[emoji124][emoji2960]
JamiiForums-201325086.jpg
JamiiForums1024691057.jpg
JamiiForums-1394873182.jpg
 
Latin America hakuna nchi ya kistaarabu kama Argentina. Nimefika Buenos Aires mwaka 2016 nilienjoy sana. Ila jamaa wanapenda Mpira saaaaana. Nilifika makao makuu ya Boca Junior na Liverplate acha kabisa
Liverplate ipo nchi gani hii mkuu
 
Umemjibu kistaarabu sana dawa ya mjinga ni kuwa mjinga zaidi yake

Back
Top Bottom