Messi kuwekwa kwenye Noti ya Argentina

Messi kuwekwa kwenye Noti ya Argentina

Hiyo ndio habari kuu kutoka Argentina

Mchezaji bora wa muda wote duniani Leon Messi anapendekezwa sura yake kutumika kwenye sarafu na noti za Argentina

Heshima kwa Messi

Gazeti la elfinanciero limeripoti
Hiyo noti wailete hata huku tutaitumia tu😂
 
Hiyo ndio habari kuu kutoka Argentina

Mchezaji bora wa muda wote duniani Leon Messi anapendekezwa sura yake kutumika kwenye sarafu na noti za Argentina

Heshima kwa Messi

Gazeti la elfinanciero limeripoti

Messi na Maradona ndio wamenifanya niupende zaidi huu mchezo wa soka..
 
Back
Top Bottom