Ndio tusubiri kuona matokeo, kuna kipindi Brazil alikula 7 kutoka kwa German so lolote laweza tokeaMwaka huu Argentina lazima abebe.... Ni swala la muda tu
Mkuu naomba sababu kuu 3 ambazo zimepelekea kusema "lazima wabebe"Mwaka huu Argentina lazima abebe.... Ni swala la muda tu
Huu ushabiki wenu wa kijinga ndo huwa unawaponza siku zote, eti "lazima wabebe" unadhani team nyingine hazilitaki hili kombe??Mwaka huu Argentina lazima abebe.... Ni swala la muda tu
Muda utaongea... Isevu comment yangu afu utakuja kunambia!Huu ushabiki wenu wa kijinga ndo huwa unawaponza siku zote, eti "lazima wabebe" unadhani team nyingine hazilitaki hili kombe??
Si ajabu akaishia robo fainali, au akafika final ila asilibebe.