Messi L vs Ronaldo C

Messi L vs Ronaldo C

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Messi Vs Timu za Ulaya
Ronaldo Vs Timu za Amerika Kusini

Kumbuka:
Kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya soka, Messi amefunga mabao matano katika mechi yake ya kwanza dhidi ya nchi ya Ulaya chini ya 100 katika viwango vya FIFA. Messi hajawahi kucheza dhidi ya nchi ya Ulaya chini ya 100 katika viwango vya FIFA.

FB_IMG_1654583518196.jpg
 
Mwaka huu Argentina lazima abebe.... Ni swala la muda tu
Huu ushabiki wenu wa kijinga ndo huwa unawaponza siku zote, eti "lazima wabebe" unadhani team nyingine hazilitaki hili kombe??

Si ajabu akaishia robo fainali, au akafika final ila asilibebe.
 
Huu ushabiki wenu wa kijinga ndo huwa unawaponza siku zote, eti "lazima wabebe" unadhani team nyingine hazilitaki hili kombe??

Si ajabu akaishia robo fainali, au akafika final ila asilibebe.
Muda utaongea... Isevu comment yangu afu utakuja kunambia!

Kombe la dunia la tatu naitabilia nchi fulani kushinda...
 
hivi nyinyi hamna aibu? Zama za Messi zimeshapita, Amemaliza msimu na goli 4, Hata Choppo Moting amemzidi. Baada mechi ya Estonia ndio mumeibuka tena
 
Back
Top Bottom