big result now
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Messi si mfalme tena barca! Mambo yote barca ni Neymar! The dwarf era is going to be a past history slowly but sure!
Hakuna kitu hapo! Mpaka muda huu statistics zinamwelekea CR7
Mpaka sasa Messi ana assist nyingi zaidi ya Neymar na ana magoli mengi zaidi ya Neyma.
Huyo Neymar mbona hata uwezo wake hamfikii Eden Hazard!!!!Messi si mfalme tena barca! Mambo yote barca ni Neymar! The dwarf era is going to be a past history slowly but sure!
Imekuwa kero sasa
Ulitaka iende kwa nani Mkuu?
Huyo Neymar mbona hata uwezo wake hamfikii Eden Hazard!!!!
Uwezo wake ni wa kawaida tu ila anabebwa na media....
Mmhhh..... Km ndo uhuru wa mawazo basi tutasikia mengi sana. Neimar vs hazard?
timu yao yamoto sana. tevez, messi, aguero, icardi.....Na bado kama akifanya vizuri Copa America na timu ya taifa atakuwa kaongeza kura zaidi...